Jafo ni waziri ni mfano wa kuigwa

Hii ndio kaliba ya uongozi inavyotakiwa sio kukaa ofisini tu na kufungua mafaili.
 
Mkuu Gavana, hili la kunuiliza nimepewa buku ngapi na mafia wa Lumumba ni kunidhalilisha, yes CCM ni Zimwi, ila ndilo likujualo, tuna ombwe asipotawala CCM kwa huku bara, apewe nani?, au na wewe unataka Ikulu yetu tuifanyie majaribio?.

Tume ya uchaguzi mbona ni tume huru siku nyingi, ila sio inclusive. Tena mimi nilijitolea kabisa kuelimisha umma kuhusu Tume, kwa kuwafanyia program kabisa, na nikachukua maswali humu jf na yakajibiwa.



Tatizo sio tume bali sheria ya uchaguzi
Sheria ya Uchaguzi Ni Bad Law!, Kuendelea Kuitumia ni Ujinga ...
Kwanini CCM inaendelea kushinda chaguzi, licha ya kuwa ndio chanzo ...
Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga ...
P



Unataka kutuambia Tume ni huru hii ya akina Jecha??Kweli buku za Mafia wa Lumumba zimekulevya??Yaani hata huna habari ya kilichoamuliwa mahakamani juzi pia ??

Hivi wa kuamua awe nani Raisi ni wananchi au Mafia ya Lumumba ??

UMESAHAU NAPE NA MAGOLI YA MKONO ???


https://zanzibarleo.co.tz/2018/06/23/unamfahamu-jaji-hamid-mahmoud/

http://www.mwanahalisi.co.tz/jaji_hamid_anaondoka_anajivunia_lipi
 
Umeshawahi kumpelekea kero aksifanyia kazi? au mkimwona kwenye matv anazunguka huku na kule ndio mnamwona jembe? Jaffo ni moja kati ya mawaziri wanaoongoza kutoa matamko yasiyotekelezeka.Ni mpenda sifa mmoja hivi ingawa inahitaji jicho la tatu kuweza kuliona hilo,ukimpelekea kero hashughulikii pamoja na waitara wake.Tangu Simbachawene atoke TAMISEMI mambo yamekuwa ovyo ovyo tu,Mara utaambiwa tumezuia uhamisho wakati watu wanahonga wanahama.Kiongozi usipokuwa proactive wewe hufai!!Kwa mawaziri wafuatao Magufuli amekosea sana; Jaffo na waitara(Tamisemi) Mkuchika na mwanjelwa(Utumishi)Kakunda na manyanya(Viwanda na Biashara).Mawaziri kupigiwa mfano ni; Ummy mwalimu na Ndugulile(Afya) Lukuvi na Mabula(Ardhi), Kalemani na Mgalu(Nishati),Ndalichako na Ole Nasha(Elimu),Lugola na Masauni(Mambo ya ndani).Hawa watu wamekuwa wasikivu kwa watu na wanapopokea kero huzifanyia kazi mara moja na si lazima kujionesha kwenye matv,huyo Mr Matv wenu Jaffo hafai pamoja na Mkuchika wa Utumishi naye hafai,hao wawili ni wa kutumbuliwa tu.Ni Mara mia Simbachawene angebakizwa Tamisemi na yule mama Angela Kairuki angebaki utumishi na siyo mzee Mkuchika ambaye ana majivuno kwelikweli,sijui Magufuli hafatilii? Rais Magufuli tuondolee Jaffo na waitara wake na tuondolee Mkuchika pia.
 
Haha yuko vizuri ila kuna kipindi alisifiwa na mkulu pale magogoni aisee next week dodoma bungeni akaenda na wito wa watu tuache kushikana mikono tunaambukizana magonjwa!
 
Unataka kutuambia Tume ni huru hii ya akina Jecha??Kweli buku za Mafia wa Lumumba zimekulevya??Yaani hata huna habari ya kilichoamuliwa mahakamani juzi pia ??

Hivi wa kuamua awe nani Raisi ni wananchi au Mafia ya Lumumba ??

UMESAHAU NAPE NA MAGOLI YA MKONO ???

https://zanzibarleo.co.tz/2018/06/23/unamfahamu-jaji-hamid-mahmoud/

http://www.mwanahalisi.co.tz/jaji_hamid_anaondoka_anajivunia_lipi
Kiukweli kabisa, Tanzania tunahitaji elimu ya uraia kuhusu mambo ya uchaguzi, tume huru, na uchaguzi huru na wa haki. NEC ni tume huru ila sio inclusive, ZEC ni tume huru na inclusive, alichofanya Jecha ni ubakaji tuu wa demokrasia. Kubaka ni kosa la jinai, mtu akibakwa, ili kuonyesha hakuridhia, hupiga kelele ya kushitaki, ule ubakaji wa Jecha kule, kuna yoyote aliyeshitaki popote zaidi ya kupiga tuu kelele?.
Ukibakwa bila kuchukua hatua ni kuridhia!.

Hayo ya Zanzibar pia yanatokea huku bara, katiba imeruhusu mikutano, rais Magufuli amepiga marufuku mikutano kinyume cha katiba, umeishawahi kusikia kama kuna yeyote amechukua hatua yoyote au kupiga tuu kelele?

P
 
Kiukweli kabisa, Tanzania tunahitaji elimu ya muraia kuhusu mambo ya uchaguzi, tume huru, na uchaguzi huru na wa haki. NEC ni tume huru ila sio inclusive, ZEC ni tume huru na inclusive, alichofanya Jecha ni ubakaji tuu wa demokrasia. Kubaka ni kosa la jinai, mtu akibakwa, ili kuonyesha hakuridhia, hupiga kelele ya kushitaki, ule ubakaji wa Jecha kule, kuna yoyote aliyeshitaki popote zaidi ya kupiga tuu kelele?.
Ukibakwa bila kuchukua hatua ni kuridhia!.

Hayo ya Zanzibar pia yanatokea huku bara, katiba imeruhusu mikutano, rais Magufuli amepiga marufuku mikutano kinyume cha katiba, umeishawahi kusikia kama kuna yeyote amechukua hatua yoyote au kupiga tuu kelele?

P

Utashitaki wapi , na Majaji wanachaguliwa na hao CCM ??? Umafia kila mahali . Tumeona kesi ya CUF na Lipumba mwisho wake ulivyokuwa , hata kipofu kaweza kuona namna Mafia ya CCM ilivyosukaqa mambo , mpaka inasahau kuweka tarehe ya kesi mahakamani na kuweka Jumapili

Utashitaki kesi Jaji msomali, Askari msomali , ???
 
Tatizo,anaahadi nyingi alafu,utekelezaji wake haunaga mrejesho kwa watu.ni km magufuli,alivyo mwongomwongo
 
Sio tu tabia za pwani, mising yetu ya kiiman ndio iliyotujenga iv kwa sisi waislam tunaamin haya maisha ni ya kupita tu ,maisha kamil ni huko akhera kwaiyo vyeo ni vya kupita tu, na majigambo na majivuno hiv vitu vimekatazwa na huaribi sifa ya kua kiongozi, tofaut na upande wa pil ambao wao huamin hakuna maisha zaid ya hapa ndio mana majigambo na majivuno kwao ni kawaida mpk kujisahau na kujiona wao miungu watu, uchache wa maarifa na ukwel ktk din yao.

Kwa hiyo Kikwete alikuwa Raisi wa waislam? Kama ndivyo nchi hii ni ya kidini.Mimi Muislamu lakini sitapenda Taifa hili liwe na udini
 
1. Hana majivuno
2. Mbujifu katika kutekeleza majikumu yake
3. Haihitaji kusimamiwa sana
4. Mara nyingi anapenda kusema kweli
5. Sio limbukeni wa siasa , sijawahi msikia akitukana wapinzani wala kugombana.
6. Ana chapa kazi kutekeleza majukumu yake na sio kumpendeza mkuu.
7. Anajua anacho kifanya



Yamkini ana maoungufu lakini kati ya mawaziri vijana sijaona kama jafo.View attachment 1122067View attachment 1122068View attachment 1122070View attachment 1122071View attachment 1122072
Huyu jamaa yuko poa sana
 
Naunga mkono hojaaaaa...

Waziri JAFO ni jembeee... huyu jamaa yuko smart na mtu yeyote unaweza ongea nae tena friendly kabisa... na akisema kitu hasau na anafatilia.
 
Mleta mada ungejiongeza kwa kutuwekea ile clip alipokuwa akisema watumishi wengine wana roho mbaya kama nyoka, atamgonga ng'ombe akimuua kumla hawezi.
 
Back
Top Bottom