Nyambiza jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2018
- 1,030
- 1,825
Hii ndio kaliba ya uongozi inavyotakiwa sio kukaa ofisini tu na kufungua mafaili.
Mkuu Gavana, hili la kunuiliza nimepewa buku ngapi na mafia wa Lumumba ni kunidhalilisha, yes CCM ni Zimwi, ila ndilo likujualo, tuna ombwe asipotawala CCM kwa huku bara, apewe nani?, au na wewe unataka Ikulu yetu tuifanyie majaribio?.
Tume ya uchaguzi mbona ni tume huru siku nyingi, ila sio inclusive. Tena mimi nilijitolea kabisa kuelimisha umma kuhusu Tume, kwa kuwafanyia program kabisa, na nikachukua maswali humu jf na yakajibiwa.
TV Prog. Alert: Tume ya Uchaguzi, NEC, Yajibu Hoja za JF Kuhusu Uchaguzi Huru na Wa Haki!
Wanabodi, Hii ni TV Program Alert nyingine kufuatia ile ya mwanzo. Kufuatia mjadala mkali ulioibuka humu jf kuhusu uchaguzi uliopita kama ulikuwa huru na wa haki, na kama Tume ya Uchaguzi haikuchakachua matokeo, jee iliogopa nini independent bodies zisifanye independent tallying, na badala...www.jamiiforums.com
Tatizo sio tume bali sheria ya uchaguzi
Sheria ya Uchaguzi Ni Bad Law!, Kuendelea Kuitumia ni Ujinga ...
Kwanini CCM inaendelea kushinda chaguzi, licha ya kuwa ndio chanzo ...
Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga ...
P
Itapendeza kwa Neema za AllahNaunga mkono hoja, na 2025 ni Jafo!, ila anahitaji kulindwa sana, ili mahasidi na wasaka ikulu, wasiitafute roho yake na kumchafua, hivyo he needs to be protected.
P
Kiukweli kabisa, Tanzania tunahitaji elimu ya uraia kuhusu mambo ya uchaguzi, tume huru, na uchaguzi huru na wa haki. NEC ni tume huru ila sio inclusive, ZEC ni tume huru na inclusive, alichofanya Jecha ni ubakaji tuu wa demokrasia. Kubaka ni kosa la jinai, mtu akibakwa, ili kuonyesha hakuridhia, hupiga kelele ya kushitaki, ule ubakaji wa Jecha kule, kuna yoyote aliyeshitaki popote zaidi ya kupiga tuu kelele?.Unataka kutuambia Tume ni huru hii ya akina Jecha??Kweli buku za Mafia wa Lumumba zimekulevya??Yaani hata huna habari ya kilichoamuliwa mahakamani juzi pia ??
Hivi wa kuamua awe nani Raisi ni wananchi au Mafia ya Lumumba ??
UMESAHAU NAPE NA MAGOLI YA MKONO ???
https://zanzibarleo.co.tz/2018/06/23/unamfahamu-jaji-hamid-mahmoud/
http://www.mwanahalisi.co.tz/jaji_hamid_anaondoka_anajivunia_lipi
Wataanza kumpiga vita wale wenye tamaa zaoNamkubali sana guys mtu anajua maana ya cheo ni dhamana
Kiukweli kabisa, Tanzania tunahitaji elimu ya muraia kuhusu mambo ya uchaguzi, tume huru, na uchaguzi huru na wa haki. NEC ni tume huru ila sio inclusive, ZEC ni tume huru na inclusive, alichofanya Jecha ni ubakaji tuu wa demokrasia. Kubaka ni kosa la jinai, mtu akibakwa, ili kuonyesha hakuridhia, hupiga kelele ya kushitaki, ule ubakaji wa Jecha kule, kuna yoyote aliyeshitaki popote zaidi ya kupiga tuu kelele?.
Ukibakwa bila kuchukua hatua ni kuridhia!.
Hayo ya Zanzibar pia yanatokea huku bara, katiba imeruhusu mikutano, rais Magufuli amepiga marufuku mikutano kinyume cha katiba, umeishawahi kusikia kama kuna yeyote amechukua hatua yoyote au kupiga tuu kelele?
P
Sio tu tabia za pwani, mising yetu ya kiiman ndio iliyotujenga iv kwa sisi waislam tunaamin haya maisha ni ya kupita tu ,maisha kamil ni huko akhera kwaiyo vyeo ni vya kupita tu, na majigambo na majivuno hiv vitu vimekatazwa na huaribi sifa ya kua kiongozi, tofaut na upande wa pil ambao wao huamin hakuna maisha zaid ya hapa ndio mana majigambo na majivuno kwao ni kawaida mpk kujisahau na kujiona wao miungu watu, uchache wa maarifa na ukwel ktk din yao.
Huyu jamaa yuko poa sana1. Hana majivuno
2. Mbujifu katika kutekeleza majikumu yake
3. Haihitaji kusimamiwa sana
4. Mara nyingi anapenda kusema kweli
5. Sio limbukeni wa siasa , sijawahi msikia akitukana wapinzani wala kugombana.
6. Ana chapa kazi kutekeleza majukumu yake na sio kumpendeza mkuu.
7. Anajua anacho kifanya
Yamkini ana maoungufu lakini kati ya mawaziri vijana sijaona kama jafo.View attachment 1122067View attachment 1122068View attachment 1122070View attachment 1122071View attachment 1122072
Mkuu Pascal unamaanisha aingie ikulu?Naunga mkono hoja, na 2025 ni Jafo!, ila anahitaji kulindwa sana, ili mahasidi na wasaka ikulu, wasiitafute roho yake na kumchafua, hivyo he needs to be protected.
P
Naunga mkono hoja, na 2025 ni Jafo!, ila anahitaji kulindwa sana, ili mahasidi na wasaka ikulu, wasiitafute roho yake na kumchafua, hivyo he needs to be protected.
P