Jaffarai na Shy-Rose na Kuheshimiana baada ya kuachana

hahahah lol
mie namwongelea huyo alieacha lol

kwahiyo hapa ulizungumza kama vile wewe ndo jaffarai, nimekupata.
Ila sasa nimeshindwa kukusoma vizuri, aliyeacha ni "he" na wewe seems like "she", how come unapresent "he"? au ni mambo ya joti tu!!
 
aache ujinga haya si mambo ya kutangaza na nadhani yeye ndo kaachwa sasa maneno ya mkosaji tu hayo
 
unajua ukiwa msichana ukatembea na mzee baada ya muda nawe unaonekana mzee namna hiyohiyo kwa kinyume chake,maana kajamaa kalikuwa kanaonekana kamtukazima kabla ya wakati wake kwa kupena mitelemko:popcorn:
 
kwahiyo hapa ulizungumza kama vile wewe ndo jaffarai, nimekupata.
Ila sasa nimeshindwa kukusoma vizuri, aliyeacha ni "he" na wewe seems like "she", how come unapresent "he"? au ni mambo ya joti tu!!

duh haya bwana ni yale ya kina joti to my dear...
 
sucks them all opposed this thread
mlitaka celebrities tukawazungumzie wapi sasa....
 
sucks them all opposed this thread
mlitaka celebrities tukawazungumzie wapi sasa....

Mkuu haya mambo ya ajabu sana mtu na akili zake anaclick mwenyewe jukwaa la habari za maceleb kisha anaanza kuponda as if hili ni jukwaa la siasa wakati kichwa cha habari cha jukwaa kinasema habari za maceleb wetu tuzipost humu.
Duniani kote ni hulka ya watu kutaka kujua celeb kafanya nini iwe ni internal au external affairs.
Kama wewe unataka habari za "muhimu" tu hushauriwi kutembelea jukwaa hili,wala mambo ya kikubwa wala jokes,
 
Mkuu haya mambo ya ajabu sana mtu na akili zake anaclick mwenyewe jukwaa la habari za maceleb kisha anaanza kuponda as if hili ni jukwaa la siasa wakati kichwa cha habari cha jukwaa kinasema habari za maceleb wetu tuzipost humu.
Duniani kote ni hulka ya watu kutaka kujua celeb kafanya nini iwe ni internal au external affairs.
Kama wewe unataka habari za "muhimu" tu hushauriwi kutembelea jukwaa hili,mambo ya kikubwa,jokes

tatizo wamekariri.....
 
Sasa sisi tufenyeje?

Wewe wa wapi? eti "tufanyeje" , hujui hii ni super habari nzuri kwa ving'asti wote wa mujini aka wapenda mteremko ? imagine , kijana mwingine ata nunuliwa gari kuvalishwa nguo kali aka kupigishwa pamba za kuelewela na kupelekwa holiday na mama lao Shyrose, usicheze wewe hili ni bonge la news kwa ma Sharobaro, most of the ving'asti walikau wanamtolea macho Shyroz and r dying to get close to her .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom