Jacqueline Wolper arudi CCM

Mara nyingi tumetoa ushauri kwa vyama vya upinzani kuhusu kupekea makapi hasa ikifika kipindi cha uchaguzi na kampeni..... Huwa hawatuelewi....
 
Huyu Mnamuita Sijui Wolper kwenye chama changu simpi nafasi, lazima nimtumbue na ninaposema kumtumbua nitamtumbua kwelikweli
 
Huyo hajitambui, atahangaika sana na ndio maana anavamia hadi watoto ambao hawaendani umri, tutaona mengi sana mwaka huu
 
Hivi niwaulize maswali kuhusu huyo wolper !

1.Hivi hii nchi inamtegemea wolper katika nini hasa kwamba bila yeye nchi haipo?

2.Siasa gani wolper anayo anaweza kumezesha watu na kuingia katika akili zao?

3.Wolper na kuhama kwake Chadema na kujiunga na CCM mnadhani kahama na nani mwingine kama sio yule toto wake?

4.Katika Ulimwengu wa kisiasa tunaweza sema CHADEMA imetikisika kisa kuhama kwake chama?

Ukijijibu hayo maswali kimya kimya utaona hii nchi ina zilaza wengi na tena vilaza wote nimewashuhudia katika ardhi ya dodoma achana na wale vilaza 7000 ila huyu nae ni miongoni mwa wale vilaza.

Hana hata punje ya ushawishi kwenye siasa ya TANZANIA kwanza sidhani hata kama anaweza toa tafasri kamili ya neno SIASA
 
kunguru halifugiki.tukisema wanawake mapezi yao ukiwa na hela tu .zikiisha wanakwenda kwa wenigine hii ndio hali halisi.bora atokee msanii mmoja atengeneza movi ya hawa wasanii makunguru na huu mchezo wao
 
M
Mimi sioni ajabu kwa Wolper kurudi CCM, kama aliweza kubadili dini mara mbili itakuwa Chama
 
Wao waondokee bora kubaki na watu wachache kuliko wengi halaf wanafiki,alidhan atapewa vitimaalum?hello
 
Ni yule msanii mliyekuwa mnasema anajitambua kuliko wasanii wote kipindi kilee....!
Hayo yalikua maneno ya kumtia moyo lakini in reality tulikua tunaona hamna kitu pale alikua anautafuta kiti maalum.
 
Majizi Chadema, mtanyooka mwaka huu na bado.


Hii ni rasharasha tu , mvua inakuja
 
Aliondoka slaa atakua wolper chadema tunaangalia chama maslai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…