Jacqueline Wolper arudi CCM

Majizi Chadema wamekimbiwa.


Yani ni majizi hadi mabavicha yanajipiga ngwala na kujiibia yenyewe million 10 za posho!!!!!


Kama ni majizi kiasi hiki wakipewa nchi itakuwaje???
 
Majizi Chadema wamekimbiwa.


Yani ni majizi hadi mabavicha yanajipiga ngwala na kujiibia yenyewe million 10 za posho!!!!!


Kama ni majizi kiasi hiki wakipewa nchi itakuwaje???
Walivyotoka ccm mliwaita makapi.
Leo mapumba yamekua wali unatafuna na kumeza huku machozi yanakutoka kwakuwa hakuna namna nyingine tena.
 

Yeah, hayo ndio mambo ya msingi ya kujiuliza. Lakini bahati mbaya makamanda hawataki kujiuliza vitu vigumu.

Ni rahisi sana kulaumu, kubeza na kupeleka lawama kwa watu wengine hata kwa matatizo watu waliyoyasababisha wenyewe. Watu wataishia kusema "njaa mbaya" pale wanachama wanapohamia upande wa pili but hiyo haifuti ukweli kuwa hali sio nzuri upinzani. Inasikitisha....watu wameweka pamba masikioni. Wanayoyasema au kuona wao ndio sahihi, wengine wote wenye mawazo tofauti ni wasaliti au wamenunuliwa au ni kutoka chama tawala au wanaambiwa ni wa kile chama fulani cha yule hasimu wetu yulee (aliyeitwaga majina mabaya yote na kutabiriwa kupotea kisiasa ingawa haikutokea hivyo walivyotaka, kwa sababu tu alitofautoana nao kimtazamo).

Interesting....unfortunatelly, it will just be a mere day dream for one to expect any institutional growth with that kind of mindset and attitude.
 
Ng'ombe aliyepotea,akaenda kukatwa mkia akirejea zizini ng'ombe wenzake lazima wamuone tofauti. Kwamba huyu kakatwa. Teh teh teh.
 

I see...basi sawa !!!
 
Wolper alidhani atapewa Ubunge wa kuteuliwa...aligonga mwamba ni lazima atapetape
 
Akili za kitoto HIZO! Jackline Wolper ni nani katika siasa za nchi hii? Unakidhalilisha chama changu!! Wewe mtu wa maigizo au?
Mi nawashangaa sana watu...who is wolper by the w way...hiv ana mchango gani ktk maendeleo ya taifa hili..yaan kumjadil huyu ni kupotexa muda tu
 
Kafanya jambo la mana saana ,
Uko ukawa walikuwa wanamtia njaa tu Ccm ata hasipopata cheo anaweza kupata Bwana Waziri
 
Kutoka kwa Mkongo mpaka kwa Harmonize.... Kutoka CHADEMA mpaka FISI-M..... frustrated.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…