Jacqueline Wolper afanyiwa 'send off'

Hivi huu uzi upo? Nimeutafuta sijauona aisee hata notification sipati khaaaa
 
Waja wanauliza Jack weupe kautoa wapi?.nadhani hwajui mambo ya genes lazima kuna weupe kweny ukoo. Na koo nyingi za kichaga ni mchanganyiko kuna weupe pee na weusi ktk familia moja
 
Back
Top Bottom