Jacqueline Wolper afanyiwa 'send off'

Hayo ni Maigizo na sio Ndoa.

NDOA NI BARAKA KAKA.

MAANDIKO YANASEMA apataye mke apata kitu chema naye ajipatia Baraka kutoka kwa Mungu.
MITHALI.

Hivi huyo ni mke/ mke mwema aliyenenwa MITHALI 31 au tumepigwa.
Mwana kapigwa.
 
Send-off ni sherehe ya wazazi kumuaga binti pindi anapokaribia kuolewa...

Sasa kwa mwanamke kama huyo kashaolewa mara kadhaa, kazaa watoto wawili na mtu aliyekuwa anaisbi naye kinyumba, it's meaningless to call it a send-off...

Hiyo ni sherehe tu isiyo na jina maalumu...
 
Wolper hajawahi kuolewa,labda unamuongelea uwoya. na hio sherehe ni haki yake kama binti na mtoto kwa wazazi wake
Send-off ni sherehe ya wazazi kumuaga binti pindi anapokaribia kuolewa...

Sasa kwa mwanamke kama huyo kashaolewa mara kadhaa, kazaa watoto wawili na mtu aliyekuwa anaisbi naye kinyumba, it's meaningless to call it a send-off...

Hiyo ni sherehe tu isiyo na jina maalumu...
 
Send-off ni sherehe ya wazazi kumuaga binti pindi anapokaribia kuolewa...

Sasa kwa mwanamke kama huyo kashaolewa mara kadhaa, kazaa watoto wawili na mtu aliyekuwa anaisbi naye kinyumba, it's meaningless to call it a send-off...

Hiyo ni sherehe tu isiyo na jina maalumu...
Wolper kaolewa lini jamani au mnamfananisha na Uwoya?
 
Send-off ni sherehe ya wazazi kumuaga binti pindi anapokaribia kuolewa...

Sasa kwa mwanamke kama huyo kashaolewa mara kadhaa, kazaa watoto wawili na mtu aliyekuwa anaisbi naye kinyumba, it's meaningless to call it a send-off...

Hiyo ni sherehe tu isiyo na jina maalumu...
Wolper amezaa na baba mtoo wake anaemuoa
 
Wenyewe wanasema papuchi hainaga makombo au haina missed call,mwana kaamua kujikwa mzigo.

Cha msingi wanetu aombe Mungu mkewe aelewe na kuiishi hii mistari ya viapo vya ndoa.

"Kwa shida na raha,kwa afya na ugonjwa".

Maana hasije kumbuka ofa alizopewa na mabuzi wa zamani.
 
Send off ilifanyika Kibaha
Aise hii ni kweli. Nilikua naongea na bi mkubwa ananiambia jana wametoka kwenye send off ya jack (imefanyika moshi) pia akaniambia anaolewa na kinaja wa huko huko pia. Harusi inafanyika dar kesho jioni
 
Back
Top Bottom