Sabung'ori
JF-Expert Member
- Jul 19, 2011
- 2,166
- 1,248
Jamani naomba nitoe langu la moyoni kuhusu mdada huyu anayeripotia luninga ya ITV. Ukweli ananivutia sana anavyoripoti matukio kiasi kwamba natamani taarifa yake iwe ndefu zaidi lakini mara nyingi zinakuwa fupi mno. Niuombe utawala wa ITV umhamishie kwenye kusoma taarifa kamili ya habari ili tufaidi umahili wa utangazaji wake. Ni ripota mwenye mvuto na anayeimudu vema kazi yake! Hongera sana da' Jack!
Nani! Ufo?
Acha kujizushia eti demu wako, wakati tunajua anachukuliwa na hemed kivuyo
Kiukweli hata mie na baadhi ya marafiki zangu hapa including mke wangu huwa tunampenda sana huyu binti kwa kazi yake pamoja na yule mwenye maneno mengi anaye tangaza michezo
Ni mke wa mtu tena ndoa na Ana Mtoto mmoja bado mchanga! Siyo fresh kumjadiri mke wa mtu.
Sasa ww ndo msemaj wa familia au?
Jamani naomba nitoe langu la moyoni kuhusu mdada huyu anayeripotia luninga ya ITV. Ukweli ananivutia sana anavyoripoti matukio kiasi kwamba natamani taarifa yake iwe ndefu zaidi lakini mara nyingi zinakuwa fupi mno. Niuombe utawala wa ITV umhamishie kwenye kusoma taarifa kamili ya habari ili tufaidi umahili wa utangazaji wake. Ni ripota mwenye mvuto na anayeimudu vema kazi yake! Hongera sana da' Jack!
hemedi kivuyo mkuu, mwanachama mwaminifu wa yanga na mtangazaji makini wa michezo kupitia luninga ya itv
Heee! she is my sister..... ngoja nimwambie... nipo naye hapa.
Atakuwa Hemed Kivuyo.Nani! Ufo?
Kumbe ni mwanachama wa yanga...! Ndio maana maneno mengi.hemedi kivuyo mkuu, mwanachama mwaminifu wa yanga na mtangazaji makini wa michezo kupitia luninga ya itv
Hahahaaa.... Kwi kwi kwik... Teh teh teh ethNani! Ufo?