Mu7
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 1,635
- 1,951
Jamani naomba nitoe langu la moyoni kuhusu mdada huyu anayeripotia luninga ya ITV. Ukweli ananivutia sana anavyoripoti matukio kiasi kwamba natamani taarifa yake iwe ndefu zaidi lakini mara nyingi zinakuwa fupi mno. Niuombe utawala wa ITV umhamishie kwenye kusoma taarifa kamili ya habari ili tufaidi umahili wa utangazaji wake. Ni ripota mwenye mvuto na anayeimudu vema kazi yake! Hongera sana da' Jack!