JustDoItNow
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 2,967
- 1,513
HACHA UZUZU WEWE. rip KWANI KAFA?R.I.P mugabe
HACHA UZUZU WEWE. rip KWANI KAFA?R.I.P mugabe
THAT MIGHT BE POSSIBLEmugabe alikuwa anaendeshwa na yule mwanamke, utakuwa na akili ya ajabu zaidi kuamini 93 year old anafanya maamuzi, ni wahuni tuu walikuwa wanamtumia kupitia mke wake muhuni pia
Kwahiyo Mugabe bado ni Rais wa Zimbabwe?
Hilo genge la wahuni kwa hapa kwetu ndio Uvccm.
Kama ulikuwa unajidanganya mimi ni Chadema basi umepotea njia tena umeingia chaka.Na Lawrence Masha Mbunge wa Africa Mashariki wa Mioyo ya Bavicha
Zimbabwe Government @GovZimbabwe 7h7 hours ago
Zimbabwe Government @GovZimbabwe 6h6 hours ago
Zimbabwe Government @GovZimbabwe 7h7 hours ago
Zimbabwe Government @GovZimbabwe 7h7 hours ago
Zimbabwe Government @GovZimbabwe 7h7 hours ago
Zimbabwe Government @GovZimbabwe 7h7 hours ago
Zimbabwe Government @GovZimbabwe 7h7 hours ago
Zimbabwe Government @GovZimbabwe 7h7 hours ago
Zimbabwe Government @GovZimbabwe 7h7 hours ago
Zimbabwe Government @GovZimbabwe 6h6 hours agoBaada ya huyu wa Kenya kuitwa Kenya-ta basi wanaofuata East Africa ni Tanzania-ta, Ugandata, Rwandata, Burundita na Somali-ta. Bila shaka mwalimu wao ni Zimbabwe-ta ambaye yuko kwenye shida.Nimelipenda bure hili jeshi hebu likodiwe hapo kwa jiran ugandata na rwandata walau demokrasia iheshimiwe
Hii inawakumbusha watawala kuwa unapowapa amri wanajeshi ya "kuwashughulikia" watanzania wenzao haimaanishi kuwa wanajeshi hao wanakubaliana na wewe kwa kila kitu na kila jambo. Saa nyingine wanakosa tu mtu wa kuwaunganisha waseme hapana kuwaumiza wananchi.Ila hawa wanajeshi walichonifurahisha ni huo mpango wao walivyouendesha kimya kimya na akili ya juu walivyoitumia hakuna vurugu wala nini.... ila Mugabe anatakiwa apumzike tu
Kama ulikuwa unajidanganya mimi ni Chadema basi umepotea njia tena umeingia chaka.
Mimi siipendi ccm tu kwa ushetani wake, mimi si mtumwa wa vyama ulielewe hili vizuri kuanzia leo.
Vipi taasisi yako, imeshalaani?Kitendo walichofanya wanajeshi wa Zimbabwe kwa Rais wao sio sahihi, kinastahili kulaaniwa na taasisi mbalimbali duniani kote, lakini dunia iko njia panda kutoa kalipio kali kwa wanajeshi hao kutokana na tabia ya Rais Mugabe ya kung'ang'ania madarakani kwa muda mrefu na namna anavyomtafuta na kumuandaa mrithi wake.
Kuna wahalifu kama wawili hivi wanasumbua!Waje na huku Tz bhana...
[emoji2] [emoji3] [emoji1]Kuna wahalifu kama wawili hivi wanasumbua!