Habar mbaya sana kwa wanalumumba kusikia pacha yao yupo kizuizini.
Tanzania nchi ya matahira hayawezi kutokea haya ndiyo maana yanageuzwa kama chapati
Huna msimamoKitendo walichofanya wanajeshi wa Zimbabwe kwa Rais wao sio sahihi, kinastahili kulaaniwa na taasisi mbalimbali duniani kote, lakini dunia iko njia panda kutoa kalipio kali kwa wanajeshi hao kutokana na tabia ya Rais Mugabe ya kung'ang'ania madarakani kwa muda mrefu na namna anavyomtafuta na kumuandaa mrithi wake.
Huyo ni CCM.Mbona hueleweki point yako ni nn hasa...!!?
Ina maana maandishi ya Uvccm yanakupa tabu kuyagunduwa?Mbona hueleweki point yako ni nn hasa...!!?
aiseee!! atulie ndani ss anywe maji aache kupanik mpaka kuja kuandka uzi humu haueleweki.Ina maana maandishi ya Uvccm yanakupa tabu kuyagunduwa?
Anahisi na mungu wa Tanzania naye yanaweza kumkuta.
Kwahiyo Mugabe bado ni Rais wa Zimbabwe?Wanajeshi wa Zimbabwe bado wanampenda Comrade
Mugabe!
Walichofanya ni kumsaidi kupumzika kwa kuwa kuna Genge la wahalifu likiongozwa na Mkewe lilikuwa linaiumiza Zimbabwe sana kwa Kivuli cha Mugabe
Jeshi limesisitiza Mugabe yuko safe Nyumbani kwake
Wanajua Majority ya Wazimbabwe wanamkubali comrade ndio sababu wanasita sits kutangaza wamemuondoa mpaka Hali iwe shwari !
Tumuache Mzee Apumzike kaifanyia Mengi sana Zimbabwe na Sadec
zimfikie popote alipo...Salamu tosha kwa yule wa mapendekezo ya miaka 7
Mkuu mbona povu hata hapa home tunataman jesh letu lijitambue yaanMpuuzi kwelikweli wewe, kwahiyo kwenu ndio demokrasia inaheshimiwa? Mpaka Sumatra wanawatia madole.
Mkamia majiHa ha ha! Nimekumbuka ya Nkamia na mpango wake.