cadey
JF-Expert Member
- Oct 14, 2014
- 1,455
- 4,410
Na Angelia na kugaragara angeambiwa mnafiki anajifanyisha ili watu wamuonee huruma,wabongo ukiwafatisha unaweza kujiuaYani bongo wapumbavu wamejaa kila kona sijui walitaka jacky aingie kaburini azikwe na Mengi.