Jacky Mengi aka Jezebel's Daughter

Wewe jamaa nishakuona mfitini sana sijui hizi roho za kinyama umezaliwa nazo au ni kupitia watu unaoishi nao! You pretend to know the inner circle of peopels' life but you are created with hatred and malicious stories and want to convince every body thats whatever you say is true. Kama una mtimanyongo na dada wa watu mwendee umwambie nini kiko rohoni mwako dhidi yake. Tangu msiba utokee umekuwa ukimshobokea sana huyu dada,mbona hukuandika au kutoa angalizo kabla ya msiba kuonyesha ulimpenda Mzee Mengi? Huu ni unafiki na kama umetumwa haitasaidi lolote. My advice to you MIND YOUR OWN BUSINESS! Mpaka unakera ebo!!!!!

Kazi yangu mi umbea, and I have been here for ages my Dear, walikuwepo wafisadi kuliko wewe na Sasa hvi hawapo tena , but I'm still here shining , and whether you like it or not , warumi ni kama maji , you can't avoid me darling , yani unajisumbua tu kuandika waraka mkubwaa, pengine unatafuta kiki kupitia Mimi , kama unaona wivu anzisha uzi wako na wewe uone kama kuna mtu atakayesoma , usijilinganishe na mm hata kidogo .

Kama hutaki kusikia habari za watu , you can easily https://jamii.app/JFUserGuide off, you ask me to mind my mind business while you are here minding my business , Sasa sijui nikuelewe vipi , yani mi umbea Ndo Dani yangu unajisumbua tu cheusi dawa.
 
Mwacheni Dada Wa watu jamani eeeh! Halafu kuna mama humu anapenda kumdiss jack yaan hata kama uzi hauhusiani na Jacky lazima amtaje na kuchomekea story ya jacky.kama kudate/kuolewa na wazee ni big deal kaoleweni na nyie wazee bado wapo wengi tu mbona.#niwivutuuuu
 
Shame on you hater
Kazi yangu mi umbea, and I have been here for ages my Dear, walikuwepo wafisadi kuliko wewe na Sasa hvi hawapo tena , but I'm still here shining , and whether you like it or not , warumi ni kama maji , you can't avoid me darling , yani unajisumbua tu kuandika waraka mkubwaa, pengine unatafuta kiki kupitia Mimi , kama unaona wivu anzisha uzi wako na wewe uone kama kuna mtu atakayesoma , usijilinganishe na mm hata kidogo .

Kama hutaki kusikia habari za watu , you can easily **** off, you ask me to mind my mind business while you are here minding my business , Sasa sijui nikuelewe vipi , yani mi umbea Ndo Dani yangu unajisumbua tu cheusi dawa.
 
Rumor has it kuwa jacky ndiye aliyesababisha Madam ritha kuwa banned ITV na bongo star search , hiyo yote ni kwa ajili ya kumkomoa Madam ritha who also rumored to be friends with Jacky before and also the ex of reg mengi.
Jacky pia we are told alihusika kikamilifu katika kumfilisi Emelda mwamanga wa Bang magazine , we all know the story of emelda
And most shockingly , two weeks before the death of mengi ,Jacky was busy doing media tour to flaunt akitaka kuonyesha Pubilc how deep in love she was with mengi , na Ma song mengi mengi ya Ma love Davi, wanazengo wanakwambia kuwa all drama was choreographed by Jacky to paint a picture kuwa they are so in love while she was in her terrible mission to finish the late mengi of which it was a success .
Jacky, wherever you are , remember that , karma is a very ugly bitch , that comes too fast , no wonder why you never cried when your husband died , wakat wewe ndo ulipaswa kuwa na uchungu kuliko hata wale walemavu na Madam ritha , yan your so called beloved husband anaungizwa kwa kaburi you were just watching as if it's a neighbor funeral , shame on you . Asiyefunzwa na ***** hufunzwa na ulimwengu .

Na sisi kama ulimwengu tunakataa kumfundisha, arudishwe huko huko kwa *****,
 
Majibu yako tu yanaonesha ni kwa kiwango gani ulivyo uncivilized...anyway siyo makosa yako.
Kazi yangu mi umbea, and I have been here for ages my Dear, walikuwepo wafisadi kuliko wewe na Sasa hvi hawapo tena , but I'm still here shining , and whether you like it or not , warumi ni kama maji , you can't avoid me darling , yani unajisumbua tu kuandika waraka mkubwaa, pengine unatafuta kiki kupitia Mimi , kama unaona wivu anzisha uzi wako na wewe uone kama kuna mtu atakayesoma , usijilinganishe na mm hata kidogo .

Kama hutaki kusikia habari za watu , you can easily **** off, you ask me to mind my mind business while you are here minding my business , Sasa sijui nikuelewe vipi , yani mi umbea Ndo Dani yangu unajisumbua tu cheusi dawa.
 
Kazi yangu mi umbea, and I have been here for ages my Dear, walikuwepo wafisadi kuliko wewe na Sasa hvi hawapo tena , but I'm still here shining , and whether you like it or not , warumi ni kama maji , you can't avoid me darling , yani unajisumbua tu kuandika waraka mkubwaa, pengine unatafuta kiki kupitia Mimi , kama unaona wivu anzisha uzi wako na wewe uone kama kuna mtu atakayesoma , usijilinganishe na mm hata kidogo .

Kama hutaki kusikia habari za watu , you can easily **** off, you ask me to mind my mind business while you are here minding my business , Sasa sijui nikuelewe vipi , yani mi umbea Ndo Dani yangu unajisumbua tu cheusi dawa.
Umeyasikia ya twitani hukoo?
 
Kuna msemo wa kizungu unasema "Never argue with a fool because people might not note the difference"
 
Yule mwanamke mzee aliingia cha kike na ndio hasara ya kuacha wake uliochuma nao mali unakimbilia madanga, yaani binti alikuwa pale kwa ajili ya njaa tu na sio mapenzi, ni binti gani atoke na mtu aliyemzidi miaaka 35 kama sio utapeli tu

Alafu siku ile jeneza linaingia kaburini ndio ilithibitisha jacky the way alivyo, jamani msiache wake zenu mliochuma nao
Asante
Manaake wengine tukiongea tunaonekana tua wivu!
Ukweli unauma!kuishi na mzee sio mchezo!
 
while familia ya MENGI ikiwa kimya KEYBOARD warriors wapo busy na theory zao za kijasusi na kipepelezi zisizo na kichwa wala miguu

hivi mlifikiri huyo mzee wa miaka 75 ataishi milele au wanakufa watoto wa miaka 10 ndio sembuse huyo mzee aliyejifia kwa kukata lingi umri ulishamtupa mkono na mwili ulishatikisika kwa magonjwa

siku zake zilifikia baaaaaasi
 
Rumor has it kuwa jacky ndiye aliyesababisha Madam ritha kuwa banned ITV na bongo star search , hiyo yote ni kwa ajili ya kumkomoa Madam ritha who also rumored to be friends with Jacky before and also the ex of reg mengi.

Jacky pia we are told alihusika kikamilifu katika kumfilisi Emelda mwamanga wa Bang magazine , we all know the story of emelda

And most shockingly , two weeks before the death of mengi ,Jacky was busy doing media tour to flaunt akitaka kuonyesha Pubilc how deep in love she was with mengi , na Ma song mengi mengi ya Ma love Davi, wanazengo wanakwambia kuwa all drama was choreographed by Jacky to paint a picture kuwa they are so in love while she was in her terrible mission to finish the late mengi of which it was a success .

Jacky, wherever you are , remember that , karma is a very ugly bitch , that comes too fast , no wonder why you never cried when your husband died , wakat wewe ndo ulipaswa kuwa na uchungu kuliko hata wale walemavu na Madam ritha , yan your so called beloved husband anaungizwa kwa kaburi you were just watching as if it's a neighbor funeral , shame on you . Asiyefunzwa na ***** hufunzwa na ulimwengu .
Nimegundua kuwa wewe ni Mange Kimambi
 
Circumstantial evidence yaweza kutumika!
Mzee alitakiwa kuwa na muda wa kupumzika wa kutosha na siyo kupelekeshwa huku na kule na hekaheka chungu nzima!
 
Hata yale maneno aliyoyasema Mzee Mengi kwamba bila Jack huenda angeshakufa ni ya uongo. Kuna uwezekano mkubwa mzee wa watu alilishwa maneno.

Tuendelee kulishana matango pori na mabichi.

Watanzania wenzangu tutafute pesa.
Ukiwa maskini kama warumi , chochote kinachokuja mbele yako lazima ulale nacho mbele. Kwa maana siku zote idle mind ni maalumu kwa kukushughulika na maisha ya watu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom