Jackline wolper kaachwa tena?

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
40,282
2,000
Celebrity relationships kuachana ni sehemu ya breaking news kwa fans..
ngumu kudumu.....wengi hudumu wakiwa kwenye spotlight....umaruufu ukipungua
wanaachana......

Kuna wanasaikolojia waliwahi kueleza insecurities za watu maarufu
umaarufu ndo kama drugs yao....
ukipungua tu ni ngumu kwao kuwa happy na yeyote
so victim wa kwanza anakuwa mpenzi....

wanakuwa so miserable.....ndo maana kila kitu wana share...

hata akiwa anaumwa ata post yuko hospitali...

insecurities zinawasumbua
 

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
48,735
2,000
Huyu sasa ni lazima ajitafakari upya. pengine alifanya kosa kabla ya kuingia kwenye mahusiano mapya alitakiwa atafkari sababu za kukimbiwa na ajrekebishe kabla ya kuanza mengine.

Baaaa Mmakonde ndio nini kumuacha ntoto nzuri hivyo...
Huyu ntonto nzuri sijui Kale ka skendo huwa ni ka kweli make mmmh
 

kibol

JF-Expert Member
Apr 24, 2012
4,446
2,000
kaachwa na Raj.....nikajua alivyopelekwa ndanda kuchele na kumpikia mama mkwe ndio kimeshaeleweka kumbe kijana kwake bado tu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom