Jack Pemba matatani

uyu jack pemba ni nani hasa, na mimi naomba wasifu wake kwa wale wanaomfahamu..ana campuni ipi, anafanya biashara gani vile?...



jack pemba akiwa na mai waifu wake victoria pemba, mtoto wake mkubwa wa kiume jack pemba junior na mtoto wake mdogo wa kike gracie pemba.


jac-p.jpg



jac-p2.jpg

jackpassport.jpg


tzdocs6.gif


tzdocs66.gif


proofp2.gif


tzdocs7.gif


tzdocs9.gif


bankle1.gif



tzdocs5.gif


tzdocs3.gif


tz.gif

IsaacPassport.jpg

CERTIFICATE_OF____INCOP.jpg
 
kumbe sio mtanzania, uyu jamaa mchafu sana, mbona anajiaibisha kufanya uchafu kama huo hapo kwenye picha...
 
hii mutu ni chafu, weka ndani haraka sana...mbona ana mambo ya ajabu...na huyo msichana naye mshamba sijui kamwokota wapi....
 
Huyu Muzamil kesi kama hizo wala hazimtishi anazo zaidi ya 100 na polisi wala hawamsumbui na hajawahi kufungwa. Kwa kifupi nahisi wakuu wa polisi wako kwenye ''payroll'' yake!

Bongo tambarare.
 
izo hela anazitoa wapi....wamwondoe hapa jamani mbona anakera....unajua shule kitu cha muhimu sana, ivi kinachomfanya kumwaga mihela huko kwenye akudo bendi ya kapuya ni nini? asijekuwa anauza madawa huyu?...wachunguze kuanzia kwenye madawa, uje kwenye uuzaji wa viungo vya albino, hadi kwenye ujambazi wa kutumia silaha na wizi wa magari, asije kuwa kwenye network fulani yeye ndo anaonekana wasioonekana wapo..aonyeshe biashara anayofanya ni ipi hapa tz, marekani na huko uingereza kwao...
 
samahani uyu jamaa ana umuhimu gani hapa tz, yaani ni nini anachofanya hadi anakuwa famous kuumiza vichwa vya watu..kwasababu nimetype google nimekutana na mipicha yake ya ajabu, mingi anachekecheka tuuuu, amezungukwa na wanawakeee, mara amepiga picha na mwanae wanayesema alimtelekeza, kuna mambo ya ajabu..ana nini huyu haswa?mwenye cv yake weka hapa.

http://1.bp.blogspot.com/_GKcbi1xLxZk/SnQ2U9xbBcI/AAAAAAAABZQ/PUfz85dl9L4/s320/S5000385.JPG

Huwa anawapa hela wale wakata viuno wa bendi mbalimbali wamtaje kwenye nyimbo zao..
 
Back
Top Bottom