J.M.Kikwete, B.W.Mkapa, A.H.Mwinyi ni ruksa kugombea Uras wa Muungano Kwenye muundo wa Serikali 3

Hata mimi kila nikisikia jina la Dr. Slaa mwili unatetemeka, mdini huyu sijui kwanini huwa tunamtaja?

Mkuu naomba ushahidi wa udini wa Dr. Slaa, hapo nami nitamkana live.....mimi dini yangu ni Utanzania
 
Kwa hiyo kwa ufikiri wako mdogo JK hatokuwa na kinga ya kushitakiwa kama rasimu mpya inavosema? Pole sana hivi wewe hawajakufanyia standardization NECTA?
Na wewe acha kulazimisha, hicho kifungu hakiko straight kama unavyotafsiri wewe. Kwani wamekwambia sheria hii itatumika "retrospectivelly"??? au "prospectivelly". Tusianze kutafisiri jinsi tunavyojisikia au kwa uelewa mdogo tulionao! Kumbuka, Katiba ya JMT ilikuwepo Toka zamani, kinachofanyika ni kuiboresha. Hata hilo la Ubunge pia liko kimya, Katiba haijasema kama Wabunge ambao Tayari na Wabunge wa Muungano hiyo sheria ya Vifungu vitatu itatumika??? Na pia kumbuka Wabunge wote wa Tanzania Bara walikuwa wanaingia moja kwa moja kwenye Bunge la Muungano.

Zanzibar kuna wawakilishi wa Baranza na pia kuna Wabunge ambao wanaingia Bunge la Muungano, hawa wote hawajasema itakuwaje, tusikimbilie kutoa taarifa zisizokuwa backed up!
 
Wewe ndio huelewi, kumbuka hiyo katiba ikianza kutumika 2015 ni kama Taifa litakuwa linazaliwa upya kwa hiyo hatuangalii yaliyopita tunaangalia from 2015..ni kama ile ibara ya wabunge kutoingia mjengoni kwa vipindi zaidi ya vi3 lakini haimaanishi kuwa waliopo sasa itawahusu it means ni baada ya katiba kuanza kutumika..muwe mnaelewa sio kukanushakanusha tu.

Yani wewe ndio kiazi zaidi rasimu ya katiba inasema Rais wa Tanzania bara hivi kuna rais alishawahi kuwa wa Tanzania bara anaitwa nani rais huyo wa Tanzania bara hivi umesoma rasimu au ukakurupuka tu acha kujifanya unajua wakati wewe ni mjinga wa mwisho.
 
sijui kutafsiri hichi kifungu.....inajulikana hamna rais wa tz au tanganyika so ben, vasco, ruksa hawana sifa ya kugombea........pia marais wa smz hata kama katiba inawaruhusu hawana mvuto w kugombea urais wa jamuhuri.
 
Na wewe acha kulazimisha, hicho kifungu hakiko straight kama unavyotafsiri wewe. Kwani wamekwambia sheria hii itatumika "retrospectivelly"??? au "prospectivelly". Tusianze kutafisiri jinsi tunavyojisikia au kwa uelewa mdogo tulionao! Kumbuka, Katiba ya JMT ilikuwepo Toka zamani, kinachofanyika ni kuiboresha. Hata hilo la Ubunge pia liko kimya, Katiba haijasema kama Wabunge ambao Tayari na Wabunge wa Muungano hiyo sheria ya Vifungu vitatu itatumika??? Na pia kumbuka Wabunge wote wa Tanzania Bara walikuwa wanaingia moja kwa moja kwenye Bunge la Muungano.

Zanzibar kuna wawakilishi wa Baranza na pia kuna Wabunge ambao wanaingia Bunge la Muungano, hawa wote hawajasema itakuwaje, tusikimbilie kutoa taarifa zisizokuwa backed up!

mkuu haya sio maboresho au marekebisho ya katiba ,hii ni katiba mpya na siku zote sheria mpya ikianza mara nyingi inakua prospectively kuanzia tarehe inapoanza kuwa effective but tusubiri tuone ufafanuzi wake kama itakua retro au pro
 
Ndugu wadau hii imekaaje?
au ndiyo siri ya kutaka serikali tatu?

SURA YA SABA
SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO
SEHEMU YA KWANZA​
[FONT=Times New
Roman]
SERIKALI
[/FONT],
R
AIS
NA
M[FONT=Times
New Roman]AKAMU WA
[/FONT]R[FONT=Times
New Roman]AIS
[/FONT]​
[FONT=Times New
Roman]
[/FONT]
[FONT=Times New
Roman]
Haki ya
kuchaguli
wa tena
[/FONT]
76
.-(1) Mtu
ambaye ni Rais anaweza kuchaguliwa tena kushika kiti

hicho kwa kipindi kingine cha miaka mitano.
(2) Mtu hatakuwa na sifa ya kugombea na kuchaguliwa zaidi ya
vipindi viwili katika nafasi ya madaraka ya Rais.
(3) Mtu aliyewahi kuwa Rais wa Tanzania Bara au Zanzibar
hatapoteza sifa za kugombea na kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya
Muungano kwa sababu aliwahi kushika nafasi ya madaraka ya Rais wa
Tanzania Bara au Rais wa Zanzibar.

Naendele kupitia vifungu vingine.

Kwani hii katiba itakuwa ni Retrospective? Kama siyo maana yake hao waliotajwa wote wanaruhusiwa kugombea tena Urais
 
Ndugu wadau hii imekaaje?
au ndiyo siri ya kutaka serikali tatu?

SURA YA SABA
SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO
SEHEMU YA KWANZA​
[FONT=Times New
Roman]
SERIKALI
[/FONT],
R
AIS
NA
M[FONT=Times
New Roman]AKAMU WA
[/FONT]R[FONT=Times
New Roman]AIS
[/FONT]​
[FONT=Times New
Roman]
[/FONT]
[FONT=Times New
Roman]
Haki ya
kuchaguli
wa tena
[/FONT]
76
.-(1) Mtu
ambaye ni Rais anaweza kuchaguliwa tena kushika kiti

hicho kwa kipindi kingine cha miaka mitano.
(2) Mtu hatakuwa na sifa ya kugombea na kuchaguliwa zaidi ya
vipindi viwili katika nafasi ya madaraka ya Rais.
(3) Mtu aliyewahi kuwa Rais wa Tanzania Bara au Zanzibar
hatapoteza sifa za kugombea na kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya
Muungano kwa sababu aliwahi kushika nafasi ya madaraka ya Rais wa
Tanzania Bara au Rais wa Zanzibar.

Naendele kupitia vifungu vingine.

Tafsiri ya Ibara 76(3) ni kwamba itakapoanza kutumika katiba hii,mtu atakayekuwa Rais wa Tz bara au Zanzibar baada ya kumaliza kipindi cha miaka mitano au kumi anaweza kugombea Urais wa JMT.
 
Kwa mantilki hiyo ni dhahiri kwamba Katiba ijayo ya Tanzania bara/ Tanganyika Kikwete, Mwinyi na Mkapa wakaruhusiwa kugombea uraisi wa Tanzania bara/Tanganyika kwa sababu hawajawahi kuwa maraisi wa serikari hizo!
 
Kwa hiyo kwa ufikiri wako mdogo JK hatokuwa na kinga ya kushitakiwa kama rasimu mpya inavosema? Pole sana hivi wewe hawajakufanyia standardization NECTA?

Kweli wewe Babu Kijana, i do not know whether you understand what you have written. This is another fallacious comment from you! Hivi mimi na wewe nani ana ufikiri mdogo???. Kwani katiba ya 1977 haimpi Kinga Rais kushitakiwa?? Unafikri unajua kumbe bure kabisa. And I bet with you, umeenda shule ya kuunga uunga wewe. Shame!
 
Wewe utakuwa mjinga wa mwanzo, hii rasimu inaanza kutumika 2015, kwa maana ikifika miaka ya zaidi ya 2015 tayari atakuwepo Rais wa Tz bara....yani kuna mi-Ntu humu JFhaistahili kuwemo humu hata haielewi kitu. Kwani serikali ya muungano ijayo itaitwa ya jamhuri ya muungano wa Tanzania (ambayo JK, Mkapa, Mwinyi wamewahi kuiongoza) au itaitwa Serikali ya Shirikisho? (ambayo mpaka haipo na hakuna aliyewahi kuiongoza hata JK, Mkapa, Mwinyi hawajawahi kuiongoza) Ndio maana Serikali ya shirikisho 2015 yeyote ktk hao ana haki ya kugombea mpaka 2025 hatoruhusiwa tena kugombea....
Yani wewe ndio kiazi zaidi rasimu ya katiba inasema Rais wa Tanzania bara hivi kuna rais alishawahi kuwa wa Tanzania bara anaitwa nani rais huyo wa Tanzania bara hivi umesoma rasimu au ukakurupuka tu acha kujifanya unajua wakati wewe ni mjinga wa mwisho.
 
hii naona kama bado haijakamilika vizuri.

aliyekuwa raisi wa ZN au bara anaweza kugombea urais wa muungano, sasa je aliyekuwa raisi wa muungano anaweza kugombea urais wa bara pekee au visiwani pekee?[/QUOTE sasa unazungumzia mambo ya Tanzania bara na Zanzibar subiri katiba ya Tanzania bara ikitengenezwa itataja sifa za mgombea urais kama aliyewahi kuwa rais wa jamhuri ya muungano anaweza kugombea bara?? kuhusu kama aliyewahi kuwa rais wa muungano anaweza kugombea Zanzibar sina uhakika kwamba katiba ya Zanzibar inasemaje! ila kwa bara hatuna katiba so far!!
 
Heshima kwenu wakuu..
Najaribu kutafakali kutokana na Rasimu ya katiba mpya, kutoa nafasi kwa yeyote aliye kidhi viwango anaweza kugombea Urais either ndani ya chama cha siasa au nje ya chama cha siasa kwa maana ya mgombea binafsi, japo haijawa katiba bado. Unadhani ni yupi kati ya BENJAMIN W. MKAPA na ALLY H. MWINYI anaweza kutoa ushindani mkubwa iwapo atatangaza nia ya kugombea Urais????

Karibuni kwa michango yenu
 
Hao tumeshauona uwezo wao,ni used wamezeeka,wamechoka,wanakula pensheni. Ni ujuha kufikiria kuongozwa na used na watu ambao rate ya kusolve complex equation ni zero kwa sekunde sasa wa nn kwenye enzi hz za dijitali. Hawa walimaliza muda wao na kutuacha na matatizo yetu kibao. Tuwaache wapumzika na kuwashauri akina fastjet
 
hapa jf tutaongea mambo mengi sana hapa lakini wakati ukifika yote yataweza kujipambanua watanzani wanamaamuzi sahihi hizi zingine porojo tu.
 
hapa jf tutaongea mambo mengi sana hapa lakini wakati ukifika yote yataweza kujipambanua watanzani wanamaamuzi sahihi hizi zingine porojo tu.
 
Its a good debate.

Ndio maana inetolewa rasimu ili tuweze kutoa mawazo yetu. Kama tunataka kuwazuia hawa kina jk, ben na wengine kugombea urais wa jmt tunayo nafasi ya kufanya hivyo kwenye hii katiba mpya.

Hiyo ibara ya 76 inatakiwa kuboreshwa ili iondoe utata unaoweza kujitokeza...iweke wazi zaidi kama tunawaruhusu ama la.
 
Mkuu naomba ushahidi wa udini wa Dr. Slaa, hapo nami nitamkana live.....mimi dini yangu ni Utanzania

Hiyo dini umeanzisha wewe.....Hata marehemu babu yako dini hiyo haijui. Na wewe utakuwa ndo shehe wa kwanza wa dini hiyo....................'
 
Back
Top Bottom