J.k akiulizwa....

Mtanzania haswa

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
663
99
Rais wangu JK alikwishaulizwa na chombo kimoja cha habari cha kimataifa kuwa mgao wa umeme Tanzania kwa nini? akasema ni sababu ya ukame na serikali yake sio Mungu kuamulisha mvua ianze kunyesha. Na sasa suala la mgomo wa mafuta akiulizwa anaweza kusema linasaidia kuondoa foleni barabarani kwa sababu watanzania tuna laumu foleni kubwa barabarani hasa miji mikubwa.....hahaha
 
Kungekuwa na uwezekano wa kum delete mtu na akatoweka moja kwa moja JK hata kwenye Recycle bin asingeonekana!
 
Anaweza jibu tatizo tunalitafutia ufumbuzi, Mwezi uliopita nilimtuma Mizengo Pinda kwenda kukagua na kuzindua meli ya kuchimba mafuta. Sasa tuvumiliane tatizo litaisha mara meli itakapofika, kumbuka Ndugu mtangazaji meli haijengwi kwa siku moja.
 
Jamani mnataka mwenzenu akwamwe na futari, leo anatufuturisha masela ya k'koo tupo magogoni mida hii kama vp karbuni.
 
Kosa lilitendeka pale Magamba walipokaidi kauli ya Mwalimu, kuwa huyu jamaa "hajakomaa" na kama Mwalimu angekuwepo angesema hivyo kila baada ya miaka mi5 kwani hakui, hakomai na hatakomaa.
Kosa lilitendeka. JK hakupaswa kuwaongoza WaTZ, alipaswa kibakia kijiweni kupigishana kelele na washikaji zake. Masikini TZ! Miaka 10 mengine imepotea bure!
 
Kuna mwana JF mmoja jana alisema JK hawezi kuwa hata kiongozi wa familia kwao mke wake ndio anaongoza familia naona kama lina ukweli ndani yake
 
Anaweza jibu tatizo tunalitafutia ufumbuzi, Mwezi uliopita nilimtuma Mizengo Pinda kwenda kukagua na kuzindua meli ya kuchimba mafuta. Sasa tuvumiliane tatizo litaisha mara meli itakapofika, kumbuka Ndugu mtangazaji meli haijengwi kwa siku moja.
dah mbavu zangu miye..lol
 
Kosa lilitendeka pale Magamba walipokaidi kauli ya Mwalimu, kuwa huyu jamaa "hajakomaa" na kama Mwalimu angekuwepo angesema hivyo kila baada ya miaka mi5 kwani hakui, hakomai na hatakomaa.<br />
Kosa lilitendeka. JK hakupaswa kuwaongoza WaTZ, alipaswa kibakia kijiweni kupigishana kelele na washikaji zake. Masikini TZ! Miaka 10 mengine imepotea bure!
<br />
<br />Aluu kumbe Mwalimu Nyerere alikuwa kichwa eh? Alijuaje? Nashangaa bado na kifo chake na mtiririko wa mambo haya!
 
Back
Top Bottom