engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
watanzania wanapiga dua hapa wakiongozwa na kaseja
Sasa kama ushabikii hapa unakuja kufata nini? si utoke utuache peke yetu?
Wewe ni balaa.Kudadadeki refa katuonea huruma ile ilikuwa iwe penalt ile,Kapombe kakumbatia duh MUNGU mkubwa half time 1-0
Hii thread naihama, asante sana mdau uliyetoa link ya abidjan. Ila hii tread ina heading ya ukabila. Nahamia yenye heading ya utaifa. ....... nilikuwako!
Na wewe ni balaa.Hapa nilipo nasali kwa juhudi getoni kwangu Tanganyika tupigwe kama nane hivi,wikend yangu itakuwa nzuri
tunashukuru kwa kututia moyo na faraja, kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa, unajua ukweli siku zote unauma, ukituambia vijana wetu wanashambuliwa mioyo yetu ingeuma sana, sasa ngoja tuamini tu kwamba leo tunawezakushinda hii mechi....asante, endelea kutujuza.Kwa taarifa yako Taifa Stars wanacheza mpira wa kuvutia hasa na wanashambulia kweli kuliko hata hao akina Drogba....
Vijana wanacheza mpira wa kitabuni hasa......Hao CIV ni majina tu na Stars wakiendelea hivi tunaweza kusawazisha na ikiwezekana kushinda
Mods.....
Inakuwaje mmeunganisha hizi thread?.....Mngetuachia thread yetu ya Ivory Coast Vs Tanzania na kuiacha hii ya Cote D'Ivoire Vs Tanganyika........
Mnatukwaza wengine na hiyo heading yenu.....
Kwani wewe ni Mod mkuu wangu?......Tatizo nini hapo? Msijifanye wazalendo kupitiliza, kwani timu ina Uamsho wangapi?