Ivory Coast Vs Tanzania

Ivory Coast Vs Tanzania

Tiote lazima atakuwa Mixrace wa Kihaya na Kibaganda. Taifa stars msiogope jaribuni tu sasa hivi tusikate tamaa nafasi bado ipo.
 
Aggrey Morris kalambwa Red......Ni baada ya kupewa 2nd yellow

Ooh kumbe ni 2nd yellow ndomana nilishangaa unajuwa tuna chat badala kutizama game then kijiweni matokeo yake tunasema uongo.

2-0 wamepata wao.
 
mcheza wetu kapigwa red card

Oyaa nyie mnaangalia kutumia link gani,kwangu wamenibadilishia wameniwekea huyu Mama ananiongelea kifaransa,shenzy taipu zao...mchezaji gani huyo kapewa red card siyo Nyoso Mabangi huyo?
 
dakika ya ngapi iyo, tujue tusijekurundikiwa magoli kila mtu akarudi la la kwake hapa bongo...tunacheza pungufu jamanii...kwanini yeye anacheza vibaya, shy him tu apate kadi na si wale wa ivory coast
 
Ya pili ile, kwahiyo anakwenda nje!

Ndio mkuu Asante nilikuwa sikuelewa elewa mwanzo tehteh mambo ya kuchat mara namuona mtu anapelekwa tunnel na Card kustukia niliona Nyekundu sikujuwa mwanzo alikuwa Yellow. Mizizi samahani huyo Shemeji yetu kwenye Avatar?
 
Achana na Shaffih, ni mtangazaji hoples kabisa.

Anaongea reality! Mpira wa Bongo upo Dar tu! Hakuna mtu anayefatilia Mpira Mikuoani huko! Anasema Tanzania sio Dar tu! Vilabu vimejaa ubabaishajio, Chaguzi za Vyama vya Mipira mikoani sio transparent! Viongozi wa mpira hawana nidhamu ya michezo! Tusitarajie miujiza!
 
Waungwana msifikiri wote tunaangalia, nani kapewa kadi nyekundu!
 
Salama mkuu.....Hongera kwa ubingwa wa EPL

thanks sana mkuu unafuatilia live kwenye ustream au ni soccernet espn maana kuna jamaa kasema kuna red aggrey moris ni kweli au fix maana hao espn siioni hiyo update..
 
uyo aliyetoka kwa kadi nyekundu wasimpange tena, tatizo la wachezaji wetu ni wavuta bange na vibaka wa magomeni, anafikiri hapo anacheza na yanga au azam....
 
wale wazungu wanaolipa hawa wachezai Mabilioni ya fedha sio wendawazimu! Mpira pesa, Mpira nidhamu, Mpira Mipango! Haiwezekani hata kivipi kufanikiwa ki ujanja ujanja tu!!
 
mbona umeacha kutupia maendeleo ya mechi ndugu yetu. Tunakutegemea sana ebu tupe update tafadhali
 
Kinachouma hapa nikwamba ilionekana kabisa hawa Ivory Coast wanafungika uoga tu na Ubavu wa mwili unatuangusha Oyaaaa mbona Passport zipo pale???????? mtu yoyote mwenye kujuwa kwanini Passport za Taifa zipo kwa waaamuzi? ndio hawatuamini kama sie au?
 
Back
Top Bottom