Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,826
Sikuona goli lao lilivyoingia, nani alifunga? na ilikuwa dkk ya ngapi?
Goli limefungwa na Salmon Kalou dakika ya 18
Ni dakika ya 45 sasa
CIV 1-0 Tanzania
Sikuona goli lao lilivyoingia, nani alifunga? na ilikuwa dkk ya ngapi?
Kudadadeki refa katuonea huruma ile ilikuwa iwe penalt ile,Kapombe kakumbatia duh MUNGU mkubwa half time 1-0
Kwa taarifa yako Taifa Stars wanacheza mpira wa kuvutia hasa na wanashambulia kweli kuliko hata hao akina Drogba....hahaha, yaani tumeshafungwa, dah...jamani ndo maana mimi siangalii, kutoonyesha mpira huu tbc wametusaidia sana sisi wengine manake wengi wangeumia moyo bure kwa hawa vijana wetu wavuta bange wa taifa stars.
Yeah vijana wanajitahidi kwa kweli
Ehehehehehe, kama wako shamba la bibi! Ni kweli wanacheza vizuri, kuna wakati uwanja wote ulikuwa kimya, kocha wao akaonekana anakuna kichwa. Mungu akisaidia tunaweza kupata matokeo mazuri leo.Vijana wanacheza vizuri...wanacheza kwa kushambulia utazani wako shamba la bibi...ninafurahi kuiangalia mechi hii, ila link inakata kata... so far so good, ingawa wenyeji wako mbele kwa kagoli kamoja...
Kwa taarifa yako Taifa Stars wanacheza mpira wa kuvutia hasa na wanashambulia kweli kuliko hata hao akina Drogba....
Vijana wanacheza mpira wa kitabuni hasa......Hao CIV ni majina tu na Stars wakiendelea hivi tunaweza kusawazisha na ikiwezekana kushinda
Sasa kama ushabikii hapa unakuja kufata nini? si utoke utuache peke yetu?Kuishabikia timu ya taifa na vilabu vyake like simba na yanga yahitaji kuwa na kichwa cha
mwendawazimu. Hakika nilishajiapiza kitambo sana haitakuja tokea nishobokee soka la Bongo.
Poleni sana!
Kulikuwa na umuhimu wowote ya kuyaandika haya?.......Si ungepotezea tu babaake...Kuishabikia timu ya taifa na vilabu vyake like simba na yanga yahitaji kuwa na kichwa cha
mwendawazimu. Hakika nilishajiapiza kitambo sana haitakuja tokea nishobokee soka la Bongo.
Poleni sana!
Hii thread naihama, asante sana mdau uliyetoa link ya abidjan. Ila hii tread ina heading ya ukabila. Nahamia yenye heading ya utaifa. ....... nilikuwako!
Hata mimi namshangaa......Sasa kama ushabikii hapa unakuja kufata nini? si utoke utuache peke yetu?