Ivory Coast Vs Tanzania

Ivory Coast Vs Tanzania

Shafii Dauda Namsikia anasema Kuna Magumashi sana soka la Kibongo! Kwahiyo tusitaraji Matokeo Mazuri Timu ya Taifa!!

Achana na Shaffih, ni mtangazaji hoples kabisa.
 
Tatizo nini hapo? Msijifanye wazalendo kupitiliza, kwani timu ina Uamsho wangapi?
Haahaaaahaa mwambie huyo anajifanya mzalendo huku anaukana utaifa wake hivihivi! Taifa lake la kizalendo ni Tanganyika!
 
Kwani wewe ni Mod mkuu wangu?......

Sidhani kama kuna sehemu nimezungumzia hayo mambo yako ya uamsho......

Na sidhani kama kulikuwa na umuhimu wa kuunganisha thread hizi mbili....

kulikuwa na umuhimu wa kuziunganisha mkuu, zote ni updates za mechi moja why ziwe mbili? Thanx kwa mod kuziunganisha
 
watu wakasirike humu wavimbe ila mie sioni Ngassa anachokifanya humu ndio tunacheza mpira mzuri ila atolewe.
 
Kuishabikia timu ya taifa na vilabu vyake like simba na yanga yahitaji kuwa na kichwa cha
mwendawazimu. Hakika nilishajiapiza kitambo sana haitakuja tokea nishobokee soka la Bongo.

Poleni sana!
afadhali anayehitaji kuwa na kichwa cha mwendawazi kuliko wewe ambaye tayari ni mwendawazimu

pambafff zako na wazazi wako na wakwenu wote,
 
Asanteni sana Mods...

Mbarikiwe sana....

Dakika ya 67

CIV 1-0 Tanzania
 
Tatizo ni style ya kukaba ya beki line ya Simba Mseto ooh sorry Taifa Stars,nina uhakika lazima forwardline ya Ivory Coast waihadithie,unaambiwa wakipata mpira tu kina Agrey Moris,Maftah,Kapombe na Yondani wanaingia wazimawazima viwiliwili,viwiko,migongo,ma'tumbo yaani ile mzogamzoga,duh ama kweli that is Tanzania
 
Red Card?????? yote Ngassa ndio kasababisha badala kugeuza na mpira katowa pasi matokeo mwenzake kamsakizia mtu pasi ya hospitali ila si red card ile ni yellow dah.
 
kulikuwa na umuhimu wa kuziunganisha mkuu, zote ni updates za mechi moja why ziwe mbili? Thanx kwa mod kuziunganisha
Moja ilikuwa inazungumzia CIV Vs Tanganyika na nyingine ilikuwa inazungumzia Ivory Coast Vs Tanzania.....Baada ya kuunganishwa ikawa CIV Vs Tanganyika ilhali zinacheza Ivory Coast Vs Tanzania.......Thank God Mods wamebadilisha heading...
 
Red Card?????? yote Ngassa ndio kasababisha badala kugeuza na mpira katowa pasi matokeo mwenzake kamsakizia mtu pasi ya hospitali ila si red card ile ni yellow dah.

Ya pili ile, kwahiyo anakwenda nje!
 
Back
Top Bottom