Ivory Coast Vs Tanzania

Ivory Coast Vs Tanzania

Vyakula kama Chips na kuku wakizungu au Mayai ya kizungu ndio matokeo yake Geovinho au Kalou anamuwekea Beki watanzania Kipaja wakati miiili yao sawa, tunajazana sehemu moja kama wa vietnam zile movie za kimarekani za vita. na mtangazaji anaharibu jina la Juma Kaseja jumaaa Kaseyaaaaaaa ndio nani?
 
Sikuona goli lao lilivyoingia, nani alifunga? na ilikuwa dkk ya ngapi?
 
Pale mwisho angemdonolea tu mwenzake mpira kweli akili angemdonolea jamaa angeondoka kusawazisha.
 
Kudadadeki refa katuonea huruma ile ilikuwa iwe penalt ile,Kapombe kakumbatia duh MUNGU mkubwa half time 1-0
 
Sikuona goli lao lilivyoingia, nani alifunga? na ilikuwa dkk ya ngapi?
hahaha, yaani tumeshafungwa, dah...jamani ndo maana mimi siangalii, kutoonyesha mpira huu tbc wametusaidia sana sisi wengine manake wengi wangeumia moyo bure kwa hawa vijana wetu wavuta bange wa taifa stars.
 
GOALThe Gambia strike against Morocco! It's Abdou Jammeh who put the Scorpions in front.
 
I'm very impressed by the way they are playing. I think the possession is about 50-50. They do have a chance to win if they find a way to penetrate their opponent's defense. God bless Tanzania.
 
Back
Top Bottom