Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,506
Duh napoteza matumaini sasa
Anaongea reality! Mpira wa Bongo upo Dar tu! Hakuna mtu anayefatilia Mpira Mikuoani huko! Anasema Tanzania sio Dar tu! Vilabu vimejaa ubabaishajio, Chaguzi za Vyama vya Mipira mikoani sio transparent! Viongozi wa mpira hawana nidhamu ya michezo! Tusitarajie miujiza!
Aggrey Morris kalambwa Red......Ni baada ya kupewa 2nd yellowWaungwana msifikiri wote tunaangalia, nani kapewa kadi nyekundu!
Ni kweli Aggrey Morris kapewa Red baada ya kulambwa 2nd Yellow......So tuko pungufu sasathanks sana mkuu unafuatilia live kwenye ustream au ni soccernet espn maana kuna jamaa kasema kuna red aggrey moris ni kweli au fix maana hao espn siioni hiyo update..
Aiyaa,link imekata huku kwangu
Shaffih Dauda ni kiazi tu....Hana lolote....Halafu umemsikia Kiingereza ananchoongea?......What a cr@pSasa unataka TFF waandae mashindano halafu ndio wayatangaze, halafu maneno hayo yanatoka kwa mtangazaji wa michezo wa so called Pipoz Stesheni, ni nini role yake kama mwandishi endapo atalalamika kama mimi na wewe.Pathetic...
Hizi ni habari njema sana kwetu.....Hata tukifungwa leo bado tutakuwa pazuri
- FULL-TIMEThe Gambia draw 1-1 against Morocco.
Aggrey Morris kalambwa Red......Ni baada ya kupewa 2nd yellow
Mabingwa wa Africa Zambia wameshafungwa 2-0 na SudanJipeni tu Matumaini! Ki Ukweli Mkubali Mkatae! Mpira hapa kwetu Bado! Mpira ni Mipango! Sio ujanja ujanja tu!! Hao waongozaji wa hatma ya Mpira wa bongo nadhani hamjui wanapatikanaje nyinyi!! Kama hadi wazee waliochoka wale wa yanga wana maamuzi ya futiboli ya Tanzania mnategemea nn?
Shaffih Dauda ni kiazi tu....Hana lolote....Halafu umemsikia Kiingereza ananchoongea?......What a cr@p
Bila red card wangekuwa wetu hao.