Ivory Coast Vs Tanzania

Ivory Coast Vs Tanzania

Viwiliwili!! kwani wachezaji wa Taifa star wamekuwa Viluwiluwi hadi wawe na viwiliwili, naona roho inawauma kuona kina Drogba wameishia magoli mawili tu, mlitamani vijana wapigwe mkono, lakini ndo hivyo dakika 90 zimeisha.

Sasa deffensive mechanism gani zile?,mtu anaingia kama gunia la lumbesa ndo maana huwa hatuvutii hata mawakala wa ligi daraja la 3 zaa nchi za wenzetu
 
Sasa deffensive mechanism gani zile?,mtu anaingia kama gunia la lumbesa ndo maana huwa hatuvutii hata mawakala wa ligi daraja la 3 zaa nchi za wenzetu
Hizo ndo zenyewe ndo maana hawajasababisha penati, sio kama za kina Nsajigwa na Chuji za kupeleka miguu kwenye miguu ya opponent wako.
 
Hizo ndo zenyewe ndo maana hawajasababisha penati, sio kama za kina Nsajigwa na Chuji za kupeleka miguu kwenye miguu ya opponent wako.
Duuh! Umejibu, umetoa ziiiinga la pointi. Kama ajaelewa basi atakuwa bado ana stress za 5-0
 
kwa kweli japo tumefungwa ila vijana walijitahidi, walau kuna pasi zinaonekana.
 
Wow, mtu kama huyu ni kumuombea tuu yaani mashabiki uchwara utawajua tu, Tegete hata timu yake hapati namba sasa sijui unataka kutueleza nini hapa. Beki imecheza vizuri sana leo na kama ingekuwa ile stars ya zamani ( hata Maximo alikula bao 4 kule ) tungelambwa nusu dazeni. Pia ungesema tumem miss yule kijeba ambaye kila mwaka anarudisha miaka nyuma, Nsajigwa ambaye bado ana maumivu ya Okwi...lolTumejitahidi kausema kweli.Beautiful beginning for our second POULSEN.
 
Jipeni tu Matumaini! Ki Ukweli Mkubali Mkatae! Mpira hapa kwetu Bado! Mpira ni Mipango! Sio ujanja ujanja tu!! Hao waongozaji wa hatma ya Mpira wa bongo nadhani hamjui wanapatikanaje nyinyi!! Kama hadi wazee waliochoka wale wa yanga wana maamuzi ya futiboli ya Tanzania mnategemea nn?
Mimi niliwaambia maneno haya na wameishia kunitukana tu hapa jamvini...lakini message sent.
Kushabikia soka la Bongo wahitaji kuwa na bichwa la mwendawazimu....soka la Bongo sawasawa na mavi ya mbwa.
 
Uzalendo ni pamoja na Kusema ukweli!kulazimisha kutaka timu yetu ishinde sio kipimo cha uzalendo, wakati ukweli haupo hivyo!! Angalieni na presha za mioyo yenu! Hakuna mpira wa kujipa presha hapa jamani!! Hivi mnajua hapo tunacheza na akina nani, na wamefikaje hapo walipo?? Wanalipwa shilingi ngapi kwa wiki? Wanafundishwa na Makocha wa viwango gani! Acheni banaa!!
Mie nimewambia yote hayo usemayo....itachukua miaka 500 kutoka sasa Tanzania iwe na soka kama la UK.Utaki unaacha
 
Tumefungwa 2 bila lakini kama tunavyojua ni ngumu sana kumfunga cot de vore kwao hasa kwa taifa stars
 
Ni ukweli usiopingika kwamba vijana wamecheza vizuri.......Tatizo lilikuwa ni kwenye umaliziaji......Mbwana Samatta hakuwa na msaidizi mzuri pale mbele......Angecheza kwa kushirikiana na Boban ama Thomas Ulimwengu mambo yangekuwa mswano......Tusubiri mechi na Gambia na Morocco...

Ila ukweli nikwamba Bocco ni garasapale Stars tofauti na anavyokuwa Azam.....Pia Ngassa hajacheza kwa kiwango chake leo.....

kaka
naomba uelewe kuwa mpira ni mchezo wa kushirikiana,huwezi kucheza 10 ama 9 then ukaenda nyuma ukachukua mpira na kukimbia nao hadi ukafunge gori,ni lazima kuwe na wachezaji wengine watakao weza kusaidia kupeleka mpira ktk njia zake na kumlisha namba 10 ama 9 ili aweze kutufungia magori,umewaona ivorycost wanaonyesha ushirikiano wa hali ya juu na ndio maana mala zote unamwona kaluu akiwa na mpira

john boko anavyokuwa azam elewa kuwa kunawachezaji wanaoweza kumchezesha boko yaani kumpa pasi za mwisho nzuri ili aweze kufunga gori,sasa kama namba 8 ama 11 ama 7 hawawezi kuleta mpira mizuri kwa boko ulitegemea boko afanyeje

kiukweli nimeuona ule mpira vijana wamecheza tofauti na nilivyotegemea
 
HII FOOTBALL ITAWAUWA KWA PRESHA KILA SIKU MARA KICHWA CHA MWENDAWAZIMU, MARA VyENGA TWAWALA ILA BAO WATUFUNGA,MARA VIJANA WAMEJITAHIDI ILA HAWAKUWA NA BAHATI.BUREEE KABISA HUU MCHEZO HATUUWEZI NA SI ASILI YETU NA SIJUI KWANINI BADO TUNAULAZIMISHA.HUU NAO NI JANGA LA KITAIFA UNAMALIZA RASILIMALI NA MUDA WA NA MATARAJIO YA WATU.TUMEUA MICHEZO AMBAYO IMEWAHI KUONYESHA KADALILI CHA WIMBO WETU WA TAIFA KUPINWA KWENYE ANGA ZA KIMATAIFA KAMA RIADHA NA NGUMI.Lakini bado ipo michezo ambayo ni rahisi na ni ya garama nafuu ambayo tunaweza kuwafundisha vijana wetu na baadaye ukailetea Taifa sifa kwenye siku za baadaye.Tuanze upya tufute kabisa hili janga la kitaifa kwenye mwazo yetu.''Tanzania bila football inwezekana''
 
kaka
naomba uelewe kuwa mpira ni mchezo wa kushirikiana,huwezi kucheza 10 ama 9 then ukaenda nyuma ukachukua mpira na kukimbia nao hadi ukafunge gori,ni lazima kuwe na wachezaji wengine watakao weza kusaidia kupeleka mpira ktk njia zake na kumlisha namba 10 ama 9 ili aweze kutufungia magori,umewaona ivorycost wanaonyesha ushirikiano wa hali ya juu na ndio maana mala zote unamwona kaluu akiwa na mpira

john boko anavyokuwa azam elewa kuwa kunawachezaji wanaoweza kumchezesha boko yaani kumpa pasi za mwisho nzuri ili aweze kufunga gori,sasa kama namba 8 ama 11 ama 7 hawawezi kuleta mpira mizuri kwa boko ulitegemea boko afanyeje

kiukweli nimeuona ule mpira vijana wamecheza tofauti na nilivyotegemea

Sasa nane mwenyewe alikuwa Domayo sijui Dumayo,uzoefu haba mipira itafikaje mbele?
 
Huwezi ukamkana baba yako au mwanao hata kama ni kimeo/kilaza.Kuweni na akili this is a national team,no matter how bad it performs.If we grasp patriotic maturity, neither simba nor whatsoever club on our land shall keep us into fierce groups when it comes to national affairs.
 
Una akili sana kijana. Big up.

Achana na watu wengine wenye akili kama za bata. Wanajifanya kupenda vya wenzao kiasi kwamba hata timu zao wanazoshabikia huko duniani zikifungwa hata idadi kubwa ya mabao kama zile 8-1 za arsenal, au 6 - 1 za man u au 5-3 za chelsea wanajikausha na hawatukani. Lakini kwa vijana wetu hasa Taifa Stars, ambayo haina maandalizi ya maana, wala misingi mizuri ya soka inatukanwa kila kukicha. Inauma sana kumtukana mwakilishi wako kama Domayo,Kapombe, Salum Abubakar n.k ambao ni vijana wadogo wanaolipigania Taifa lakini wanaishia kuzomewa. Hivi kwa akili zenu mnaona ni issue sana kwa Taifa Stars kufungwa na Ivory Coast 2 -0 ?
 
Back
Top Bottom