Breaking news!
Masa na Belinda, sasa Tenga na JK naona wanataka kuwaletea Drogba na Kalou, Kina Toure et al. Natumaini watu wa darajani mmeshaandaa kuomba sahihi za Drogba kwenye picha zake
Hahahah usisahau kupiga nao picha mazee! hahahahaah
Mkuu Masa,
Itabidi Tenga amweke Didier tumweke kama Kombe la Dunia pale uwanja wa taifa.Unapiga picha naye ahahahah. Samsung wanaweza kupandia hapo pia.
Umeona kundi la Ghana? Kwa kweli sina imani kama timu za Africa zitatutoa kimasomaso.....Spain mwakani wasipopata majeraha wanaweza beba mwali wa dunia...waonaje mkuuu?
Umerudi Mafuriko yameshaisha darajani?Breaking news!
Umerudi Mafuriko yameshaisha darajani?