kwa lipi mbaka tumpongeze kwani kazi ya kipa ni nini Kama sio kudaka. NB:kazi ya kipa ni kudaka
Kwani kazi ya wanajeshi si kupigana? Mbona huwa tunawapongeza wakishinda vita?kwa lipi mbaka tumpongeze kwani kazi ya kipa ni nini Kama sio kudaka. NB:kazi ya kipa ni kudaka
Kwani kazi ya wanajeshi si kupigana? Mbona huwa tunawapongeza wakishinda vita?
watu mnavopenda kushangilia kwa dhati tukishinda
ila tukifungwa mngesema sana ivo kwanini kawekwa nk
hatuna ule utaratibu wa kupeana moyo
kwa lipi mbaka tumpongeze kwani kazi ya kipa ni nini Kama sio kudaka. NB:kazi ya kipa ni kudaka
Huna shukrani wewe mbwa mwitu...
watu mnavopenda kushangilia kwa dhati tukishinda
ila tukifungwa mngesema sana ivo kwanini kawekwa nk
hatuna ule utaratibu wa kupeana moyo
kasema kweli bana. kazi ya kipa kudaka akidaka mchezaji adhabu.