Singida Out, iwe fundisho siku nyingine

Megalodon

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,319
4,316
Niseme kweli SSC bado inasafari ndefu.

Haiwezi ule mpira wa kukimbizana dakika 90 bila kuchoka, mpira wa SSC ni slow na sio mpira wa kulazimisha ushindi.

Bado nina mashaka na sajili zao, huyu Sarr ambaye ni Rasta ni kweli alicheza against Ronaldo au ndio sajili za promo kwa SSC.

Yule mchezaji aliyetoa pasi na adui kushinda goli shida ni umakini au ujinga.

Nakumbuka SAMATA alitimuliwa EPL’sababu mabosi zake hawakuwa na muda wa kumsubiri mtu awe mzuri au over time , tumekuajiri tunakulipa, leta matokeo, full stop.

Bado reform inahitajika SSC . Mpira wao sio mpira wa ushindani, bado sijajua shida ipo wapi SINBA? inawezekana Simba inahitaji pia mwanasaikolojia wa kuamsha morali ya wachezaji, I guess

Anyway , wachezaji wa Singida wajifunze NIDHAM ya mpira na hii ni shida snaa ndio maana wachezaji wetu wa ndani hawafiki mbali. Nyoso alikuwa mzuri snaa , where is he now ? DISCIPLINE NI MANDATORY kwenye any career development. Vijana msisahau hilo, ukitaka kumjua mchawi wako, nenda kwenye kioo.

Kuna yule alitaka kumpiga mwamuzi, hivi mtu kama huyu ameingiaje LIGI KUU?

Ameingiaje, mmmh

, huyu ni mtu wa kucheza mpira wa mchangani sio professional football, ni kijana wa hovyo na hopeless…. Hafik mbali kimpira.

Mpira ni kazi na inahitaji character development na reputation.

Leo hii Samata angekuwa anapiga waamuzi unadhan angeitwa tena huko Genk , vijana tuwe serious na kazi, kuna Camera, records , why would you do such a thing , stupid as stupid does.

Ni Kama wamefunga Goli kwa kubahatisha, why upoteze muda makusudi kabisa, dakika zimeongezwa that means hata nyie mnayo chance ya kuongeza goli, kitendo cha kupoteza muda ni kutojiamini na kukosa nidham.

Alichofanya refa ni sahih, and he was warning them all along , kwamba acheni huo ujinga but hawakusikia

Na ile ni kona halali, waache kudhan wameonewa, wangepambana goli lisiingie sio kuleta excuses……. Goli la kimpira kabisa

kipa kaenda kudakia mpira nje then anarudi ndani, alitakiwa kuuacha. KONA NI HALALI NA GOLI NI HALALI

And still , Singida alikuwa na chance ya kuitoa SSC kwa penalt , mbona wameshindwa, hata huyo aliyetaka kumpiga Mwamuzi amekosa penalt …….. kiazi kanisa.

Wakati mwingine tuheshimu waamuzi, tusiwe na majibu yetu.

Mpira unaisha hadi filimbi ya mwisho na sio kujiangusha kama waarabu.

SSC mnayokazi ya ku reform timu yenu, ila Kombe linabaki Zanzibar.
 
TANZANIA Simba na Yanga kupoteza mechi ni dhambi so sijaona cha maana ulichoshauri kuhusu refa .. labda nidhamu nitakuunga mkono
 
Niseme kweli SSC bado inasafari ndefu.

Haiwezi ule mpira wa kukimbizana dakika 90 bila kuchoka, mpira wa SSC ni slow na sio mpira wa kulazimisha ushindi.

Ba
Uliangalia mechi ya Belozdad na Yanga?
Kama haujaingalia itafute uiangalie ndiyo utajua mpira siyo kama unavyofikiria.
Pamoja na Yanga kuongoza Ball Possession kipindi cha kwanza na cha pili na tena walipiga mpira haswaaa ila walipigwa goli 3-0 bila hata goli moja la kufutia machozi hawakupata😁😁😁😁😁
 
elimu yako ni ndogo sana, possible akili pia Huna,. shame on you. maneno mengi point amna, possibly ujasoma ww

Sasa wewe umeandika nini

Too subjective . Emotional

Umeingia kwenye fantasy ya subjectivity

I thought you would put empirical Evidence as to how refa ana makosa

Stupid as stupid does , Madam
 
Niseme kweli SSC bado inasafari ndefu.

Haiwezi ule mpira wa kukimbizana dakika 90 bila kuchoka, mpira wa SSC ni slow na sio mpira wa kulazimisha ushindi.

Bado nina mashaka na sajili zao, huyu Sarr ambaye ni Rasta ni kweli alicheza against Ronaldo au ndio sajili za promo kwa SSC.
Wewe ni taahira kama refa, tani hukuona upumbavu alioufanya refa leo au ulikuwa unashikiliwa kwenye radio?
 
Uliangalia mechi ya Belozdad na Yanga?
Kama haujaingalia itafute uiangalie ndiyo utajua mpira siyo kama unavyofikiria.
Pamoja na Yanga kuongoza Ball Possession kipindi cha kwanza na cha pili na tena walipiga mpira haswaaa ila walipigwa goli 3-0 bila hata goli moja la kufutia machozi hawakupata

Kwahiyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom