ha ha ha mkuu huoni hujulikani kwa sababu ya kutoonekana unapoishi? hapa inazungumziwa ile hali ya mtu kuwepo lakini hajichanganyi kabisa na wenzake hivyo inakuwa ngumu kumjua. hii yako hapana mkuu sijaichukulia kama tabia yako. ni ratibu yako tuu kutoka na kuingia unapoishi iko tait