Ivi wewe unatabia gani...?!

Mie ya kwanza aisee!utafikiri unanijua!raha yetu sie huwa hatupati shida hata iwe ugenin!
 
tabia yangu inategemea na mazingira nitakayoyakuta hapo
 
Mimi ngoja nifanye utafiti kwanza kwa maana"NO RESEARCH NO WRITE TO SPEAK"
 
Nimependa jina lako kuliko thread. Vodka Mmmhhhhh 🙂
 
Namba 1, 2 na 4 kutegemeana na mazingira niliyopo, sababu inayoniweka pale pia aina ya watu wanaonizunguka.
 
zote kutegemeana na hesabu za watu nilionao.
 
wewe utakuwa huna msimamo,bila shaka

kuna group 4..
Sasa unadhani haiwezekani katika binadamu Bil ngapi sijui walipo duniani kama inawezekana kuwa na characters za kila group walau mbili? Basi inawezekana!
 
Namba 1, 2 na 4 kutegemeana na mazingira niliyopo, sababu inayoniweka pale pia aina ya watu wanaonizunguka.
other factors remain constant...Hata ivyo kila theory ina critisms
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…