Ivi Wanyiramba wana nini jamani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ivi Wanyiramba wana nini jamani?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Ernie, Feb 11, 2011.

 1. Ernie

  Ernie JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2011
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 218
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Katika kajitafiti kangu kafupi nimegundua kuwa hakuna kabila inapenda kula mzigo kama wanyiramba awe wa kike awe wa kiume kazi ni ile ile halafu kwa kuzaa watoto holela, unakuta kila mtoto ana baba yake au kila mtoto ana mama yake.

  Ivi tatizo liko wapi? wana Jamii naomba mchanganuo wenu!
   
 2. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2011
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,806
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  Utafiti wako fake,nnao ndg familia km kumi.wanyiramba n'a wamezaa ndani ya ndoa n'a watoto wote wa baba na mama huyo huyo,muache kufanya utafiti wenu kwenye mabaa
   
 3. M

  Masiko W. M. Member

  #3
  Feb 11, 2011
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 42
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kama ulifanya utafiti, tunategemea utuambie sababu ya tatizo lililokufanya ufanye utafiti.
  chochote kitakachosemwa na mtu ambaye hajafanya utafiti, kitakuwa cha uongo ama ni UTANI TU
  Utafiti uliofanywa na Mwita C.K (1899) kuhusu tatizo hilo aliweza kugundua matatizo yafuatayo:
  Kwa suala la kula mizoga, ni kwamba wanapenda sana nyama. Hata wanyama wengine ambao kwa asili hawaliwi na binadamu, wao huwala. Mfano; Punda, Fisi. Wana kisingizio cha kusema kuwa hata "fisi ni ngozi, ndani ni nyama".

  Kwa tatizo la kuzaa ovyo, Mwita alisema kuwa kwa asilimia kubwa linasababishwa na tabia ya kupenda nyama. Hivyo basi, binti wa kinyiramba akiolewa, kama huyo mwanaume hana uwezo wa kumnunulia nyama angalau kilo mbili kwa siku, huyo mwanamke lazima ataachika kumtafuta mwanaume wa kumtimizia haja hiyo. kwa kuwa hufanya hivyo kwa kubahatisha, hujikuta anazalishwa na wanaume mbalimbali, na hivyo kuza ovyo ovyo.
   
 4. Ernie

  Ernie JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2011
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 218
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Jamani tusiongee kwa sababu ya upambe au kutetea kabila kwani hata mimi ni mnyiramba tena wa Kiomboi, Munkonze ndio kijiji chetu na nina mifanohai kabisa ya wale ambao wananizunguka, tustetee tu! wanyiramba noma jamani ila mi nawapenda kwani hata mke wangu ni mnyiramba na nimemkuta na watoto 2 ambao kila mmoja ana babake.
   
 5. Omukuru

  Omukuru JF-Expert Member

  #5
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hivi si ni kawaida kabisa kwamba kila mtoto ana baba yake na kila mtoto ana mama yake; sijawahi kusikia vinginevyo.
   
 6. Omukuru

  Omukuru JF-Expert Member

  #6
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mwenzio kakwambia kula mzigo wewe unaleta kula mizoga, umeishia la ngapi?
   
 7. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #7
  Feb 11, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,798
  Trophy Points: 280
  Uwe sha_waani?
   
 8. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #8
  Feb 11, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,798
  Trophy Points: 280
  Tuambie wewe ni wa kabila gani, tusije ingili utani wa jadi.
   
 9. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #9
  Feb 11, 2011
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Wanyiramba ni moja ya makabila ambayo yanafuata matrilineal system: yaani mama ndiye mkuu wa kaya; na watoto wanaozaliwa si wa baba bali ni wa mama: wanaegamia kwa kaka zake (wajomba wa watoto). Hivyo basi, mama wa Kinyiramba - hata kama ameolewa - ndiye anayeamua nani amzalishe (ampe mtoto). Mwanaume anakuwa 'dume la mbegu tu'. Na kwa mtindo huo mwanamke anapenda kuchanganya 'mbegu' mbalimbali kwa watoto wake. Akikupenda wewe atapenda uzae naye ili kaka zake wapate mbegu tofauti na bila shaka - kwa mtazamo wake - iliyo nzuri kutokana na sifa alizokupendea: wema, umbile la mwili, nk. nk.
   
 10. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #10
  Feb 11, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Ha ha ha..hii ni utani au kuna ukweli ndani yake.Ngoja waje wenyewe watatuhakikishia ukweli uko wapi.sijui wako wapi:behindsofa:

   
 11. Rural Swagga

  Rural Swagga JF-Expert Member

  #11
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  hahahahahahaha,hahahahahahahaha!!!!!! Jamaa kaingia chaka mbaya
   
 12. s

  shosti JF-Expert Member

  #12
  Feb 11, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Babu k vipi,mbona ngumi mkononi jamani:coffee:
   
 13. Yohana Kilimba

  Yohana Kilimba JF-Expert Member

  #13
  Apr 6, 2016
  Joined: Dec 25, 2012
  Messages: 8,132
  Likes Received: 5,211
  Trophy Points: 280
  na huu ndio ukweli mtamu
   
 14. kubwa_Lao

  kubwa_Lao JF-Expert Member

  #14
  Apr 11, 2016
  Joined: Dec 12, 2015
  Messages: 709
  Likes Received: 831
  Trophy Points: 180
  hivi wema nae ni mnyiramba sio???
  kama ndio basi nahisi anatafuta nyama ya tembo na bado hajaipata
   
Loading...