Ivi uyu mdada yupoje jamani

Ivi uyu mdada yupoje jamani

Niliachana nae kisa ajatulia kwa kumfumania na kidume kingine eti leo ananambia anataka ajenge familia na mm

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie hujapenda kiwanja cha kuijengea hiyo familia. Afu na matofali nayo yamechakachuliwa sana hivyo hiyo familia haitaweza kuwa imara...

Mapendo.
 
Jifunze kusamehe na kusahau hata wewe ushakosea x nyingi ukasemehewa na sasa maisha yanasonga
Au ushasahau maneno ya wahenga kutenda kisa sio kosa, kosa kurudia kosa.
Mpe nafasi nakuahidi hutojutia maamuzi yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia vitu vya kupost katika mitandao, una tutia aibu wanaume
 
Kichwa cha habari ni
kibovu umeandika Kizaramo, ulitakiwa uandike "hivi huyu mdada" sio ivi uyu mdada.
 
Kumpa tu nafasi ya kujadiliana mambo hayo baada ya kumfumania inaonyesha wewe ni mtu wa aina gani.

Note: Anakuona bwege, mzembe, usiyetafakari.

Jiandae kufumania zaidi.
 
Jengeni familia kwa hisani ya watu wa marekani
 
Kashakujua kuwa wewe ndio mwanasesere wake ndo maana!
 
Back
Top Bottom