Ivi ulishawahiona hii?

Ivi ulishawahiona hii?

Mlitika

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2012
Posts
457
Reaction score
260
Katika pita pita zangu nimekutana na hii!

Africa.jpg
 
Haya ni matusi makubwa kwa sisi waafrika!

Inategemea vionjo vyako vya kisanaa vimekaaje. Binafsi sioni tatizo la mchoraji kuipa Afrika taswira ya binti (mwanamke mdogo) mrembo aliyevaa kama binti zetu wa kisasa, mwenye umbo la kiafrika hasa.....

Ingawa sijui malengo ya mchoraji, lakini mama ningepewa kuichambua picha hii ningesema hivi:
1. Afrika kufananishwa na binti mdogo na mrembo wa kuvutia:
- Maana yake ni kwamba Afrika bado ni "nchi" (bara) changa na lenye mengi ya kuvutia na kuwapa watu
wa nje hamu ya kuitazama.
2. Miguu ya msichana katika mchoro imesimama A.K.
- Maana yake bara la Afrika limesimamia Afrika Kusini kwa mambo mengi - kiuchumi, maendeleo nk.
3. Kichwa cha mrembo huyu katika mchoro kipo kwenye Pembe ya afrika.
- Ni kweli kwamba katika Pembe hiyo ya Afrika ndipo ilipo hazina ya urembo wa sura (hasa kwa akina mama).
Angalia mfano mabinti wa Ethiopia, Elitrea na Somalia.
4. Binti huyu mrembo amevaa nguo iliyobana MNO imetoboka toboka hapa na pale. Hii iko wazi zaidi maana ndiyo
mitindo ya kuvaa ya (baadhi) ya binti zetu (hasa walio mijini).
- Maana yake ni kwamba utamaduni wa Mwafrika umeathirika mno na mambo ya "ukisasa". bahati mbaya
Afrika tunaiga mno HASA MAMBO MABAYA YA KIMAGHARIBI AMBAYO HAYATUPI HESHIMA badala ya kuiga
mambo ya kimaendeleo.
5. Mikono ya mrembo inaning'inia Tanzania.
- Hapa siwezi kusema sana. Sijui anamaanisha Tanzania ndiyo wenye mikono tupu (maskini) au kwamba
mikono tupu (ya wageni) inakuja Tanzania kuchota utajiri.......

Kwa vyo vyote mchoro huu nauona una tafsiri nyingi chanya kama ukiwamua kuupa jicho la kisanaa. Big-up sana mchoraji. Au nasema vibaya Mamndenyi na Slave?

Last edited by a moderator:
Nyetk nakuwekea 'pata' kwa maelezo yako,
lazima utakuwa mtaalam wa kusoma viganja.

Slave yuko 'honey moon' kule hata simu za tochi tuliwanyang'anya.

nadhani alitaka kuonesha kuwa bara la afrika ni changa lenye resources za kuvutia lakini wananchi wake ni maskini kwa namna moja na nyingine........hapo kwenye wowowo kuna shehena ya resources na matajiri wachache .............majority...?!?!?!? Ila tasfiri zi nyingi mno......!!!!

asante Nyetk
 
Last edited by a moderator:
Inategemea vionjo vyako vya kisanaa vimekaaje. Binafsi sioni tatizo la mchoraji kuipa Afrika taswira ya binti (mwanamke mdogo) mrembo aliyevaa kama binti zetu wa kisasa, mwenye umbo la kiafrika hasa.....

Ingawa sijui malengo ya mchoraji, lakini mama ningepewa kuichambua picha hii ningesema hivi:
1. Afrika kufananishwa na binti mdogo na mrembo wa kuvutia:
- Maana yake ni kwamba Afrika bado ni "nchi" (bara) changa na lenye mengi ya kuvutia na kuwapa watu
wa nje hamu ya kuitazama.
2. Miguu ya msichana katika mchoro imesimama A.K.
- Maana yake bara la Afrika limesimamia Afrika Kusini kwa mambo mengi - kiuchumi, maendeleo nk.
3. Kichwa cha mrembo huyu katika mchoro kipo kwenye Pembe ya afrika.
- Ni kweli kwamba katika Pembe hiyo ya Afrika ndipo ilipo hazina ya urembo wa sura (hasa kwa akina mama).
Angalia mfano mabinti wa Ethiopia, Elitrea na Somalia.
4. Binti huyu mrembo amevaa nguo iliyobana MNO imetoboka toboka hapa na pale. Hii iko wazi zaidi maana ndiyo
mitindo ya kuvaa ya (baadhi) ya binti zetu (hasa walio mijini).
- Maana yake ni kwamba utamaduni wa Mwafrika umeathirika mno na mambo ya "ukisasa". bahati mbaya
Afrika tunaiga mno HASA MAMBO MABAYA YA KIMAGHARIBI AMBAYO HAYATUPI HESHIMA badala ya kuiga
mambo ya kimaendeleo.
5. Mikono ya mrembo inaning'inia Tanzania.
- Hapa siwezi kusema sana. Sijui anamaanisha Tanzania ndiyo wenye mikono tupu (maskini) au kwamba
mikono tupu (ya wageni) inakuja Tanzania kuchota utajiri.......

Kwa vyo vyote mchoro huu nauona una tafsiri nyingi chanya kama ukiwamua kuupa jicho la kisanaa. Big-up sana mchoraji. Au nasema vibaya Mamndenyi na Slave?

Du! Kweli fasihi na sanaa haviachani! asante mkuu Nyetk. Sii wengi tungekuja na mawazo kama haya!
 
dah! Kweli wewe Nyetk ni art mkali heko kwa definition ila hapo chini ulivyo nipanga mie na Mamndenyi umenitafutia ugomvi naomba uniombee msamaha kwa Vin Diesel la sivyo leo nitauwawa
 
Last edited by a moderator:
Nyetk nakuwekea 'pata' kwa maelezo yako,
lazima utakuwa mtaalam wa kusoma viganja.

kweli jamaa ni mtaalam wa kusoma mambo yaliyofichikana nazani pia kuna jambo zuri ameliona mpaka aka MENTION Slave na Mamndenyi hapo kuna jambo.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom