Ivi kwa nini wadada wengi wenye degree huwa wanaishia kuolewa na wanajeshi/mapolisi?

Kipi cha ajabu.
Kwani hao sio watu.
Au unataka wote waolewe na bwana yako.
Swali la kijinga.
Na wewe kwa nini unatembea na teller?
 
Unaongelea degree ipi? bachelor, masters au doctoret? Manake hizo zote ni degree, au duce au udom au saut walikuambieni degree ni nini?

nashukulu mweleweshe huyu mburula maan kakarili afu pia kavulugwa
 
Kwasababu soldiers wako na nguvu wanajiamin sana and wanawake wengi tunapenda kuwa safe ndo mana,personally namdate mjeda na cjaona tatizo mpaka sasa
 
Back
Top Bottom