Ivi kwa nini wadada wengi wenye degree huwa wanaishia kuolewa na wanajeshi/mapolisi?

Mimi nafikiri; Sababu kubwa ni kwamba, kutokana na Sheria zao Jeshini za kukaa miaka kadhaa bila kuoa, askari wetu inawalazimu kutafuta sehemu za kupumzika na kupata utulivu, na kwa asilimia kubwa dada zetu wengi walioko vyuoni pindi Boom linapochelewa kutoka kwakweli utawaonea huruma jinsi wanavyohangaika (kumradhi: Nimeweza kushuhudia hili mara kadhaa kwa dada zetu wa UDOM), nafikiri kwa wakazi wa Dodoma wanaweza kuwa mashahidi ktk hili. UDOM nimetolea mfano tu.
Kwahiyo mjeda anahitaji kupunguza Glucose mwilini na mdada naye anataka kuongeza Glucose mwilini, wakikutana na mambo mengine yanaanzia hapo.
Baada ya kumaliza chuo na kupata hiyo degree, anakuwa tayari AMEKOLEA kwa MJEDA au anakuwa AMECHAKAA inamlazimu kuendelea na huyo mjeda.
 
Ngoja kwanza nimalizie hii kitu nikija nakuja na utafiti wangu....
 
utafiti wako ni uwongo mtupu

no research no right to speak, hata ivyo wanajeshi pia ni wanaume so whats a big deal there?
 
Mandela apumzike tu mana hata kazi aliyoifanya wakati wa uhai wake ni ya kukumbukwa milele. kuhusu dada zetu kuoana na soldiers mm naona si swala la kushangaza mana wajeda nao ni binadamu & they have love feelings like yu hata mi ninarafiki yangu tumemaliza wote UDOM anamchumba mjeda na huyo mjeda ni rafiki yangu so mi naona si swala la kukaa na kuumiza vichwa,mapenzi ni mapenzi tu iwe kwa mjeda au mchoma mkaa.
 
Upuuzi.com wewe umefanya utafiti wapi. Umechukua sampuli ngapi hadi u conclude hivyo?
 
kwani kipi cha kushangaza? mtu hachaguliwi mtu wa kuoana naye! wekeni mada za maendeleo sio mada za kikuda kwani ww huyo uliye naye nani anamjadili? remember that love deals with internal of an individual ok?
 
121632_340.jpg
 
Huyu atakua mhitimu wa UDOM

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
me mwenyewe sielewagi hili swala
lakin kwani ni ajabu kuolewa na polisi ama??
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom