I've Reached the End of the Road

binafsi changamoto ninazokumbana nazo katika maisha, huwa nazigeuza na kua fursa muhimu sana ya kujipanga upya, kujisahihisha kujirekebisha, kujisahihisha na hatimae kuziconfront nikiwa very bold na kuhakikisha natoboa kikamilifu.
Sawa ule mkopo wangu vipi
In fact Neema na Baraka za Mungu hunipa nguvu zaidi na uhakika wa kufanikiwa katika kudeal na changamoto ngumu na nyepesi maishani ๐Ÿ’
Pande hizi hua umenyooka ๐Ÿค—ukirudi pande zile unaanza kuzingua๐Ÿซฅ
 
Zaburi 23:1
[1]BWANA ndiye mchungaji wangu,
Sitapungukiwa na kitu.
(A Psalm of David.) The LORD is my shepherd; I shall not want.๐Ÿ’
Yes,
hiyo ni mbinu ya uhakika mno ya kujikwamua katika kila aina ya mkwamo.

Ni rahisi mno yaani, ni kujipanga tu ๐Ÿ’
 
Amen mtumishi
Jitahidi usimamie haki utakua gentlemen kweli๐Ÿ’
wajibu wangu ni kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu ndugu mdau,

hiyo siwezi acha kamwe na nitaifanya kazi hiyo kwa bidii mbaya sana aise ๐Ÿ’
 
wajibu wangu ni kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu ndugu mdau,

hiyo siwezi acha kamwe na nitaifanya kazi hiyo kwa bidii mbaya sana aise ๐Ÿ’
Ngoja ni kuache jukwaa huru hili ๐Ÿ™
 
Ngoja ni kuache jukwaa huru hili ๐Ÿ™
Yes,
tena unipatie nafasi nzuri na tulivu ya kumpumzika, hatimae baadae mapema kesho nije na mawazo mapya bora zaidi na fikra mbadala nzito na za maana zaidi, dhidi ya hoja mahususi katika majukwaa mbalimbali humu JF.

nimefurahi sana na kwakweli nakushukuru sana kwa yote ๐Ÿ’
 
๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Hivi mkuu tamuuuuu huwa unasumbuliwa na kitu gani hasa?
Hii sio mara ya kwanza mimi kukuona umejikatia tamaa
Asante kwa kujali,kueleza hapa nitaandika mpaka niwakere watu.I wish nikae nawe nikueleze kila kitu mwanzo mpaka mwisho,nadhani utanielewa kwanini nafikia hatua hizi.
 
Kwanza hongera pili umenikumbusha kipindi natoka DRC kuja bongo,aisee ni km Hivi ,huu ujasiri huwa unakujaga na Mungu akuwepo
 
Mkuu ulitisha sana, haya yalikua maamuzi magumu sana kwa umri wako.

Anyway natamani afu sitamani kuweka visa vyangu humu ndani.

Lakini hilo la ukali wa wazazi umenikumbusha mbali sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ’”
 
Kuhusu macho kubadilika hii hata mimi nina story sio leo lakini

Pole sana usichanganye pombe na bange aiseee una amsha maruhani
Is there any truth about daemons???

Most of times I felt it inside me. Jamaa ameizungumzia hii case kama kituko au jambo ambalo hata yeye ameshindwa kulielewa.

Kuna muda huwa najihisi na kujiona sio mimi kabisa, Huwa najiona ni Simba dume. Hii hali huwa inanitokea lakini ni mara chache sana na nimegundua huwa inanitokea nikiwa nimekasirika gafla au jambo la hatari limekuja kwa kunishtukiza.

Mara ya kwanza kunitokea ni kwamba nilikua form2 alafu bimkubwa akaanza kunigombeza kwa kitu ambacho sijafanya( Bi mkubwa wangu ni pilipili). Nikamjibu sijakifanya alafu nikaendlea na mambo yangu, kumbe bi mkubwa ananilia timing๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ. Aisee! alinishika kwa kunishtukiza nilijikuta tuu nimebadilika gafla nilikua na nguvu za ajabu alafu nikabadilika kabisa macho kwa maelezo ya bi mkubwa (mambo yalikua makali sana). Sikumpiga ila nilimkoromea sauti niliyoitoa pale bi mkubwa alitamani kukimbia๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, akaniacha hakunipiga tena.
Lakini alikuja kuniuliza nilikuaje pale, nikamjibu ni hasira tuu mama, alafu nilishamwambia mimi sipendi kupigwa.

Mara ya pili

Hapa nilikua mtu mzima na ndipo nilipoanza kujiuliza kuhusu hizi mambo.

Nilikua na utaratibu Kila siku saa10 alfajiri naingia Jogging, Sasa Kuna siku nikachepuka main road nikapita njia shortcut lengo lilikua niwawahi FFU(nilikua napenda nyimbo zao wanapofanya jogging).
Kumbe kwenye ile njia kuna mbwa. Aisee! Nilisikia kama kishindo kugeuka naona kundi la mbwa kama 25-30 zinakuja kunivamia. Nakumbuka nilisimama alafu nikatoa mlio wa kukoroma kama Simba, wale mbwa wote waligeuza mbio, walinikimbia vibaya sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿค”.

Mwisho Babu yangu alikua ni muethiopia, wakati anaishi alishawahi kuwaapisha watoto wake kwamba kuna baadhi ya mambo hawatakiwi kufanya na endapo wakiyafanya bhasi Simba dume atokee mchana amlarue yule aliyefanya hilo katazo. Bado ninamaswali sana na haya mambo maana naona kabisa huyo Simba dume anaishi ndani yangu ila huwa anatoka akijisikia๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Je! Kuna mtu mwingine anaweza kutoa ushuhuda wa hizi mambo? Yaani mtu kujiona kama ana uasili wa mnyama ndani yake?

ShesRise_1 au nawewe ni simba jike? Maada juu ya maada.
 
Wanyama aisee wanaheshimu sana binadamu. Siku ile mimi huyu ningeliwa na simba au fisi. Lakini nilivuka pori lile usiku tena peke yangu nikiwa na miaka 16 tu. Tangu siku ile nikajua kuwa mimi ni mwanaume na ninaweza kufanya cho chote nikiamua. Mpaka leo hii mimi huwezi kunitishia nyau hata uwe nani. Maisha haya nyie acheni tu!
 
Mkuu ulitisha sana, haya yalikua maamuzi magumu sana kwa umri wako.
Mkuu noma ilikua
Anyway natamani afu sitamani kuweka visa vyangu humu ndani.
Kama haikufanyi uji expose sana weka tu
Lakini hilo la ukali wa wazazi umenikumbusha mbali sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ’”
Na wewe ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… sijui hili la wazazi kuw wakali kupitiliza hua inatokana na nini!
 
Niliweka aibu pembeni nikaanza A kabisa maana nilikuwa nimepoteza kila kitu...
Nilipoteza kila kitu hata ela ya kula ikawa mgogoro. I lost friends too.
Nilianza upya kabisa bila aibu na Mungu alikuwa upande wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ