Mpaka uwe na akili ndiyo unaweza kutofautisha upuuzi na mambo ya maana. Huenda wewe ni miongoni mwa walioharibiwa akili ambao mnaosubiria Tanzania iipe misaada Marekani kwa sababu ni donor country. Ninyi ndio tunataka mpate kuondolewa kwenye huo ujinga uliosababishwa na hadaa za watawala.Umeandika upuuzi
Lengo liwe ni kujenga msingi utakaoondoa kinga ya viongozi kutoshtakiwa. Viongozi waongo tuwe na uwezo wa kuwashtaki, na wakiyhibitika walidanganya kwa hila watumikie jela.Ili wasomi wachache wakae wazungumze vya kuunda kuunda wapige kodi zetu kupitia posho
Kiwango cha kufikiri na kuchambua ukweli na uwongo ni duni sana kwa Watanzania walio wengi. Magufuli alijuwa UJINGA uliopo kwa Watanzania na akautumia kwa KUWADANGANYATumeshandanywa mambo mengi sn
Mfumo mbovu wa elimuKiwango cha kufikiri na kuchambua ukweli na uwongo ni duni sana kwa Watanzania walio wengi. Magufuli alijuwa UJINGA uliopo kwa Watanzania na akautumia kwa KUWADANGANYA
Magufuli alikuwa anajuwa kiwango cha ujinga wa Watanzania walio wengi na ndiyo ukawa mtaji wake kwa propaganda za UWONGO. Wasomi na wajuzi wa mambo akawanyamazisha kwa sheria mbaya za mtandao, takwimu na sheria ya habari. Amedanganya na ikawa ndiyo hulka yetu na mpaka alipokufa tukadanganywa kwa siku 7 kuwa yupo anachapa kazi
Sijui walikuwa wanamdanganya nani.Wote wenye akili timamu na uelewa wa kutosha, walifahamu kwa uwazi kabisa kuwa taarifa ile kuwa Acacia walikuwa wanadaiwa kodi ya sh. Trilioni 360, walijua kuwa ni uwongo na hadaa ya hali ya jui.
Thamani ya mauzo ya dhahabu yote toka migodi yote ya dhahabu nchini Tanzania tangu migodi hiyo ianze uzalishaji, ilikuwa haifikii shilingi trilioni 360.
Ingewezekana vipi kampuni moja idaiwe kodi ya sh. Trilioni 360? Ile ilikuwa ni dhaharau kubwa kwa umma. Hawa watu waliwaona Watanzania hawana akili, ni watu wa kumeza uwongo wa kila aina toka kwa watawala.
Kama msemo wa wenye hekima unavyonena, njia ya mwongo ni fupi. Sasa Kabudi na Mwigulu wamelazimika kukiri hadharani kuwa waliudanganya umma.
Katiba yetu inatamka wazi kuwa umma ndiyo mamlka ya juu kuliko mamlaka zote. Hawa walioudanganya umma, na wapo hai, waachwe tu kwa uovu huo walioufanya? Hili moja wamekiri wazi kuwa walidanganya, je waliudanganya umma kwa mambo mangapi?
Leo hii tuna vijana wengi, hasa ndani ya UVCCM wamejazwa ujinga na kutetea mambo mengi ya uwongo na ujinga kutokana na uwongo waliolishwa na hawa watawala. Madhara haya waliyoyapata hawa vijana wa UVCCM kiasi kwamba wengi wao wanapojadili hoja za uchumi, uwekezaji, demokrasia au utawala bora, wanaonekana kama ni watu wenye uelewa duni kabisa, watafidiwa vipi kwa haya madhara waliyoyapata? Na nani atalipia?
Angalao ili kuweza kuwaondoa ujinga kutoka katika mioyo na akili, hasa za vijana wa UVCCM ambao kiufahamu wameharibiwa kutokana na kudanganywa na watawala, kuundwe tume itakayochunguza na kitoa taarifa ya wazi juu ya mambo yote ambayo watawala waliwadanganya wananchi, ili watu wautambue ukweli kuliko kuendelea kuishi kwenye ujinga na hadaa walizolishwa kwa muda mrefu.
Pia oundwe sheria kali, ambayo itamfanya kila kiongozi mwongo kutumikia jela. Na viongozi wanaowaharibu vijana kifikra na kimaadili, wasiwe na mbadala wa adhabu, zaidi ya kifungo.
Mmoja amesikika huko Mbeya akiwahamasisha vijana wa UVCCM kufanya uovu. Viongozi kama hawa wanaowaharibu vijana mahali pao salama palitakiwa kuwa jela.
HahahaIli wasomi wachache wakae wazungumze vya kuunda kuunda wapige kodi zetu kupitia posho
😅😅😅Make hapo kwanza ncheke
Yule alikuwa foool kichwani, akawageuza mawaziri foool twice.
MIM NILISHTUKA MAPEMA YULE ALIJAA HUSDA, ROHO MBAYA, MDINI....
Ajifie Tena huko aliko
Viva Samia....umeturudisha kwenye njia ya matumaini
Bahati mbaya, yawezekana huna uelewa mkubwa kwenye hii mining industry business.Mkataba ni legal binding document uwezi kujiamkia tu na kutaka kubadili terms au kusema unafuta mkataba wenyewe.
Ukikurupuka utashitakiwa
Kwa ivyo ukitaka kubadili terms mbinu moja wapo ni kutafuta breach either (condition, warrant or anticipatory) hiyo ndio angle inayokuruhusu kudai damages or repudiation kwenye mkataba.
Ndio Magufuli alichofanya alitafuta condition breach ya kukwepa kodi (be it the amount was overestimated) ilo sasa linawapa wadaiwa nafasi ya kujitetea kabla ya kwenda mahakamani kubishana.
ACCACIA walitaka ku challenge hiyo breach BARRICK wakaamua kuichukua kampuni na ku negotiate upya mkataba.
So zote zile zilikuwa ni negotiation tack tics given the small legal window serikali iliyokuwa nayo kuwaleta mezani.
Mtu yeyote mwenye akili timamu alielewa lengo la Magufuli lilikuwa kubadili mkataba na alifanikiwa kuwaita mezani bahati mbaya quality ya negotiators wetu inatia aibu walishindwa kufikia makubaliano yenye maslahi zaidi kwa nchi ata kama tulimaliza mjadala in a more favourable position na tulipotoka.
Kinachoonyesha sasa ni watanzania kutokuwa na shukran watu wametumia nafasi zao kuwapigania maslahi yenu kwa mikataba mibovu walioingia viongozi wenu wenye tamaa miaka ya nyuma leo mnawatukana.
Unatetea uovu.Ni vema uwe msomaji tu.Dunia hii ukitaka kila kitu au Jambo liende au utarajie unavyotaka wewe unaweza ukaishia kuwa mwehu, awamu ya tano imepita tusonge mbele.
Tatizo Serikali imejaza watu wenye ujuzi mdogo sana katika mambo mengi. Ukichanganya na unafiki, inakuwa ni hasara tupu. Kama nchi hii ingebahatika kuwa na watu sahihi katika vyombo vyote vya Serikali, hakika ingepaa.How weak financial data costs East Africa billions in lost FDI
External investors looking for merger and acquisition deals in East Africa are facing challenges when conducting due diligence and valuing potential targets due to low-quality financial data,www.thecitizen.co.tz
The Citizens inadai research zilizofanywa na international institutions zinaonyesha Tanzania financial experts their skills are below par.
Chukulia ili sakata trillioni sijui 360 kuandikwa kwenye CAG report sijasoma hiyo report on what angle it was an audit concern.
Likewise if you gonna do financial provision there are rules to follow IAS 37 and IAS 10, hivi unaweza weka disputed claims kwenye audit report or even record them in any book ledger kama income kweli.
Tafuteni diaspora wenye uwezo matatizo ya hiyo nchi yapo wazi ni mismanaged asilimia kubwa. Na chanzo ni wataalamu wasio na uwezo techinically katika vitu walivyosomea. Yaani ata ukisikiliza wachambuzi kwenye TV unabaki salaleh.
Ukitunga sheria mpya kama sehemu ya new contract terms ili kuwekwa ndani ya mikataba elewa aiwaathiri wawekezaji waliopo tayari.Bahati mbaya, yawezekana huna uelewa mkubwa kwenye hii mining industry business.
Tulichokipata kwa mabadiliko yale ya sheria, mikataba na harassment ni kidogo sana kuliko tulichokipoteza. Jiulize:
1) mpaka leo, tumepata kiasi gani kutokana na ile 16% free carried interest ukilinganisha na 10% tuliyokuwa nayo awali?
2) tumefaidika kwa kiasi gani kutokana na kuongezeka sana kwa bei ya dhahabu ukilinganisha na mataifa mengine yanayozalisha dhahabu, huku tukiwa tumeshuka katika uzalishaji wa dhahabu kutoka nafasi ya 3 mpaka nafasi ya 6 katika Africa?
3) tumefaidika vipi kutokana na kuondoka makampuni 160 ya kigeni yaliyokuwa yakifanya utafiti wa madini nchini?
4) tulifaidika nini kutokana na kusimama kwa uwekezaji kwenye miradi ya graphite kutokana na hofu ya kuja kuzuiwa kuuza nje concentrate?
Wajinga pekee yao ndio wanaweza kudanganywa kuwa sera zile zilikuwa na faida.
I can’t argue with that halafu tatizo zaidi wenyewe awaoni makosa yao.Tatizo Serikali imejaza watu wenye ujuzi mdogo sana katika mambo mengi. Ukichanganya na unafiki, inakuwa ni hasara tupu. Kama nchi hii ingebahatika kuwa na watu sahihi katika vyombo vyote vya Serikali, hakika ingepaa.
Wote wenye akili timamu na uelewa wa kutosha, walifahamu kwa uwazi kabisa kuwa taarifa ile kuwa Acacia walikuwa wanadaiwa kodi ya sh. Trilioni 360, walijua kuwa ni uwongo na hadaa ya hali ya jui.