ITV 'Yahaha' baada ya viewers kupungua...

mimi natazama ITV SUPERBRAND africa mashariki na kati
 
I tv kwenye upande wa habari wapo makini sana hawawezi teteleka ni ngumu sana kuwashusba wale jamaa. Huwezi kutazam taarifa ya habari ya clouds afu ukaacha ya U T V . utakuwa umepungukiwa akiri. Usijidanganye I T V ni super brand izo nyingine za hovyo hovyo tu
 
nilipenda sana kuangalia ITV nikiwa tz,but majuzi nimerudi nikakuta vipindi havina mvuto kabisa.I think wanatakiwa wabafilike,mfano Isidingo sidhani kama inawagazamaji wengi.Nadhani inabadilika sasa na kua TV ya wazee.
hii isidingo tangu ianze kuonyeshwa sijui ina umri gani?
 
Kila moja inauzuri wake. Huwezi sema itv imepoteza viewers hata hao cloudz wanafaham ngoma ni nzito
 
Msifananishe itv na vitu vya kijinga,kipindi bora kwao shilawadu
 
nilipenda sana kuangalia ITV nikiwa tz,but majuzi nimerudi nikakuta vipindi havina mvuto kabisa.I think wanatakiwa wabafilike,mfano Isidingo sidhani kama inawagazamaji wengi.Nadhani inabadilika sasa na kua TV ya wazee.


Acha kabisa ITV na Isidingo kwa asiyejua hawezi kujua life la kila siku
Naipenda nitaipenda ITV clouds hii waaachie Makonda na yule mwingine ndio wanajua wanachokifuata kule
watu ambao hawana hata habari za mikoani wala hawana wanaoripoti toka mikoani wao wamekalia Dar kama makonda na tuu angalieni la kusema
 
Hivi shilawadu ni nini?
Ni kipindi cha udaku-wanapaka wenzao mav* habari za kizushi ndio Yao kazi,
Na kinawatu wengi wanao kifuatiria,Si wanapenda umbeya huku wakidai wanapunguza stress!
Mtu makini au kijana makini hawezi kuangalia kipindi hicho.
 
Ni wewe na mkeo ndo mnaangalia Clouds TV, mtu mzima na akili zake hawezi kuangalia takataka ya ccm hiyo, Kama kina Ruge wamekutuma waambie bado Sana, wajinga na majuha ndo huangalia clouds, TV ya propaganda za ccm.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Twakimu za kupikwa hizo Cloudz over ITV yaani Isidingo imekosa kabisa watazamaji?
Isidingo inaanzaje kukosa watazamaji na mi nipo[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mkuu unafananisha itv na clouds...? Chanel za kihun unafananisha na chanel descent mkuu.... Hapo ulipaswa kufananisha clouds na eatv. Watanzania bana...n lin tutapata ufaham...? itv ifananishe na azam kidogo ntakuelewa...mkuu
 
Wasalimie Sengerema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…