ITV 'Yahaha' baada ya viewers kupungua...

itv hata niwe chooni natamani kuibeba tv niendelee kuangalia
 
Hata hivyo tv zinaingiza pesa sana wakati wa prine time. Na ndo huo wa Isidingo na taarifa.
 
Austere Malivika aling'ara sana wakati tukiichapa M23. Tunahitaji habari za kimataifa pia. Ukijiangalia sana mwenyewe unakosa kuona fursa zilizo nje.

Hao wote wanaomulikwa na Itv ni washirika wetu au tuna maslahi huko. Wanapaswa waende pia Comoro. Mtaelewa tu baada ya muda.
 
Aliyekutuma angekushauri hili bandiko ulipeleke fb, kuna magasho wengi wangekuunga mkono mana ndo chanel yao
 
Mara nyingi naona vijana wa sekondari na ma house girl wanapenda clouds...
 
ITV pamoja na kukimbiwa na.watangazaji, ule moto uache bwana mdogo. Usitake kulinganusha upuuzi na ITV
 
nilipenda sana kuangalia ITV nikiwa tz,but majuzi nimerudi nikakuta vipindi havina mvuto kabisa.I think wanatakiwa wabafilike,mfano Isidingo sidhani kama inawagazamaji wengi.Nadhani inabadilika sasa na kua TV ya wazee.
Kwani sisi wazee siyo watazamaji walengwa? Nimekuwa mtazamaji wa Isidingo kwa karibu miaka 20 sasa. Wakiiondoa ili waonyeshe sijui shilawadu ili wavutie vijana wa kiswahili itakuwa shauri yao. Nadhani ustaarabu ndo unaotofautisha ITV na Mawingu, kwa hiyo haiwezi kupoteza watazamaji. Labda watanzania wote wageuke waswazi
 
Kwahiyo unataka kutuhamasisha na sisi tuwe tunaangalia unachikiona wewe, sijaona hoja ya msingi hapo.
 
Zaman nilikuwa nafatilia sana habar ya xaa mbili ila kwa sasa hawanishtui hawa infact wamepoteza kitu flan kama mvuto.
 
Wa TZ si tunapenda udaku ndo maana wanaangalia hiyo Clouds sijui kupunguza stress
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…