Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,862
Kwa hiyo yule mwandishi alikua wa Chama kisichotii sheria za nchi??
Peleka pumba zako huko chumbuni zanzibarTatizo sio polisi, tatizo hiki chama kisichotii sheria za nchi. kifo ni just matokeo ya huu ukaidi.
Mkuu markj sijui hawa jamaa wanaakili gani hata kifo jamaaa wanashabikia....aghraaaa! Lakini Mungu atawajibu tu siku moja.
una uhakika gani kama wanafaa kuwa mashahidi?mtu yeyote anaweza kujitokeza na kusema ameona yote yalio tokea...Mkuu hii tume uchwara inayoongozwa na Mwema kamwe haitawaita hao jamaa wawili watoe ushahidi na si ajabu wanaweza kabisa kunyamazishwa ili kuficha ukweli wa kile kilichojiri katika mauaji ya Mwangosi.
Tatizo sio polisi, tatizo hiki chama kisichotii sheria za nchi. kifo ni just matokeo ya huu ukaidi.
Hao mashahidi wamepandikizwa, na unaposema alipigwa bomu kwa nyuma utumbo ukatoka na akakatika vipande vipande,hilo ni bomu gani,la machozi au RPG. Mimi nashaka sana na hao mashahidi wako, lazima watakua wametumwa kudanganya umma. Sisi tunasubiri uchunguzi ufanyike kwanza.
Tatizo sio polisi, tatizo hiki chama kisichotii sheria za nchi. kifo ni just matokeo ya huu ukaidi.
Hao mashahidi wamepandikizwa, na unaposema alipigwa bomu kwa nyuma utumbo ukatoka na akakatika vipande vipande,hilo ni bomu gani,la machozi au RPG. Mimi nashaka sana na hao mashahidi wako, lazima watakua wametumwa kudanganya umma. Sisi tunasubiri uchunguzi ufanyike kwanza.
una uhakika gani kama wanafaa kuwa mashahidi?mtu yeyote anaweza kujitokeza na kusema ameona yote yalio tokea
haikuhusu,jadili thread.sio unakaa kuuliza maswali ya kipuuzi.unaelewa maana ya jina majebere au umejiita tu?
We mtu unaejiita tume ya katiba toa undava wako hapa, tangu uifahamu CHADEMA ni kifo gani kimewahi kusababishwa na CHADEMA?, hizo ni njama za maksudi za CCM kudhohofisha upinzani. The ERGUE inawasubiri wauwaji hawaTatizo sio polisi, tatizo hiki chama kisichotii sheria za nchi. kifo ni just matokeo ya huu ukaidi.
BEWARE OF POLICEMEN! Polis wetu wamegeuka wauaji.
haikuhusu,jadili thread.sio unakaa kuuliza maswali ya kipuuzi.
Haya maneno unatakiwa kumwambia Slaa sio mimi, lasivyo ataendelea kuhamasisha fujo na watu wasio na hatia wataendelea kuumia au kufa. Polisi wako kazini kutuliza ghasia kwa njia wanazo zijua wao. Na pia waandishi wa habari wanajua hatari za shughuli zao lakini wanachukua risk,haya ndio madhara yake.Majebere kaa ukijua hii dunia sote tunapita... Jaribu kuwa na moyo wa kibinaadamu kidogo, Hata kama unafaidika na huu mfumo lakini umefikiria maisha ya watanzania wenzako huyo marehemu ameacha watoto wanne (4) na mke, just imagine angekuwa na kaka yako huyo marehemu gafla from no where familia yake imeyumba, mtu hakuwa na silaha, wala hakuwa na jiwe zaidi alikuwa na kamera yake ya kazi lakini wewe bado unajifanya kiziwi sawa mkuu UBARIKIWE SANA.