scatter
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,667
- 925
Ndugu mimi ni mfuasia wa maendeleo katika nchi yetu na tena na msimamo mkali katika chama chetu cha chadema
sikatai mkuu slaa kufanya mikutano sehemu mbalimbali nchini na hasa kigoma na sehemu zingine nchini..
Nimeangalia taarifa ya habari ya itv na nimegundua yafuatayo
1. Watu walikuepo mkutano kwa ajili ya kumsikiliza slaa lakini sio wengi kama ilivyoripotiwa
2. Mhariri ame edit picha za watu na kuzifanya zionekane kuna watu wengi kwa kuzoom picha kiasi utadhani upo mjini vile
3. Picha halisi ni zile wakati mabomu yanapigwa na watu kukimbia utaona kutoka mkutanoni watu wachache tu ndio waliokuwa wanakimbia mabomu ya machozi why?
Tuache unafiki na mimi sio mnafiki