Itv wame edit picha -kigoma

Mtoa mada wewe ulikuwepo kwenye huo mkutano ina maana hakukuwa na chombo kingine cha habari tofauti na ITV? Kigoma hawa na wawakilishi wa TBC,Star TV,Chenel ten na Clouds TV? Au ndiyo hi yo?

sijavielewa vituo vingine mkuu
 
Mrema aliweka historia kuwa kiongozi wa kwanza wa upinzani kubebwa na kusukumwa kwenye gari.

Slaa ameweka historia kuwa kiongozi wa kwanza wa upinzani kurushiwa mawe na kufukuzwa jukwaani kwa mabango.

Lipumba aliweka historia kuwa kiongozi wa kwanza wa upinzani kupewa kibano na polisi.

Slaa ameweka historia kuwa kiongozi wa kwanza wa upinzani kuwaamrisha polisi wawadhibiti wananchi na kuokolewa na kuhifadhiwa na polisi ili asidhuriwe.

Haya yote ni maendeleo...

Cc Sikonge
 
Last edited by a moderator:
Anzisha kituo chako cha Tv halafu uwe unarusha habari za mikutano ya Chadema live ili kukwepa kuhaririwa kwa picha za matukio yote. Kwani wewe kinakuuma nini hapo? Son of a btch

mkuu siasa safi ni pamoja na kuwa na vyombo huru tatizo nifake iliyoletwa na jamaa hawa
 
kakojoe ukalale

imekuuma eee

kalale au leo hujapata buku 7!

kwa hiyo imekuuma sana au, kesho jifanye mwandishi wa habari na utoa taarifa yako isikuwa na editing,
watu wengine bwana!!!!!!!!!!!

inakusaidia nini wewe?hayo malamiko yako yataondoa mgao wa umeme?

Anzisha kituo chako cha Tv halafu uwe unarusha habari za mikutano ya Chadema live ili kukwepa kuhaririwa kwa picha za matukio yote. Kwani wewe kinakuuma nini hapo? Son of a btch

Hawa ndio vijana wa Bavicha kama kawaida yao.

Cc Izack Mwanahapa Juliana Shonza
 
Last edited by a moderator:
 

mkuu sipo huko unapofikiria!
 
ITV wafanye editing kwa manufaa ya nani? Wewe utakuwa umevurugwa na akili yako imejaa majanga.

Shukran ya punda mateke Kaka!Na mbeleko yote iwabebao leo yamekuwa haya???" Ni kweli vijana wengi wa kigamba ni 'majanga'".
 
ITV wafanye editing kwa manufaa ya nani? Wewe utakuwa umevurugwa na akili yako imejaa majanga.

Shukran ya punda mateke Kaka!Na mbeleko yote iwabebao leo yamekuwa haya???" Ni kweli vijana wengi wa kigamba ni 'majanga' na hawajui wayatendayo".
TATIZO NI KWAMBA HAYA WAYATENDAYO NI HATARI KWETU SOTE NA SHIDA ZAIDI NI KWAMBA WAPO WANAODHANI KWAMBA WAO WAPO SALAMA.
 
Mengi, Mtei, Mbowe, Lema, unadhani kuna nini hapo.

Mmeishiwa hoja,kila mnachofanya kinashindwa,mnabaki kurudia maneno hayo hayo tu. MNAJARIBU KUZUIA MAFURIKO KWA VIGANJA VYA MIKONO.Baada ya uchaguzi 2015 mjiandae kunyea debe tu.
 
Hapo ndipo uone tofauti, Dr. Slaa anatoa amri, POLISI wanatimiza, hiyo ndiyo inaitwa Nguvu ya kuzaliwa nayo na huhitaji uwe na pesa au Msaliti au Kiongozi wa Serikali ili upewe HESHIMA. Sitaki kusema POLISI walimuogopa, BIG NO! Wamempa heshima yake kama Future President. Jinsi habari ya Zitto inavyozidi kudoda, ndiyo mikakati yako (hata hivyo nafikiri wewe ni Chadema kwa ndani) na wenzako wa CCM inakwama. Wasira na Savimbi ni kifo cha mende....

Wewe na Lukosi, CCM iwachunge sana maana mmekaa kushoto kidogo.
 
Video tumeziona ,pia picha tumeziona ktk mitandaoa mbali mbali na ktk vyombo vya habari kama ITV.Ni lazima wadau tukushangae kutoka huko ulikotoka na kuamua kupotosha kwa makusudi,ni vizuri ukajiuliza maswali mengi kabla ya kuamua jambo fulani...

kama umeziona je watu waliovunja mkutano wanaenda na idadi ya wahudhuriaji? Kama ndio ...basi tambua watu walikua wengi
kama sio basi idadi ndogo haiwezi kuvunja mkutano wa watu wengi!
 

mkuu usinidharau mie idharau kamati kuu itakayowarudisha baadhi ya watuhumiwa!
 
We sio mzima umepagawa bada ya mipango yako na zitto kufeli slaa hamumuwezi anakubalika sana kajipangeni upya wachawi wakubwa nyie

hahahaha nishajipanga mkuu kwa mabadiliko ila sio mtu wakutafuna kila kitu !
 
Hizi buku 7 zitawatoa roho! Mpaka 2015 mtakua hamna marejesho hapo ndipo itakapo kuwa kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…