ITV vipi tena?

ITV vipi tena?

Wameona ni usanii mliofanya hawataki kushiriki uzushi........ Mnafanya maigizo mnataka wayatangaze??? Itv hongereni kwa kuwaumbua wanafiki

CHADEMA SQUARE isikutishe sana mkuu, huu ni mwanzo tu wa M4C, huko mbeleni sijui utakuwa na hali gani kwa sababu M4C inakwenda kuingia vijijini kule mlipokuwa mnagawa wali na pilau kwenda kuvua gamba wavalishwe gwanda
 
Wameona ni usanii mliofanya hawataki kushiriki uzushi........ Mnafanya maigizo mnataka wayatangaze??? Itv hongereni kwa kuwaumbua wanafiki

Hv na wewe kweli ni kiongozi wa chama kikubwa kama c.c.m?ndio maana kumbe chama kinaporomoka siku baada ya siku,hauna uwezo kabisa wa kujenga hoja na kuwa convince wananchi,unachoweza ni porojo tu!eti vua gamba vaa uzalendo,nani kakuambia uzalendo unavaliwa??uwezo wako wa kufikiri jaribu ku uboost mkuu ili ukiokoe chama chako!me sijawahi kuona ukijenga hoja za maana kama vijana wenzio kina January, Mnyika,Zitto etc
 
mkuu hivi unaakili timamu kweli? Mungu akusamehe tu.. ila uangalie tusije kukunyonga! Usiangalie leo umepiga picha ya tuendako japo kwa miaka minne (4) ijayo??? Pole

Wakuu kujibizana na huyu kijana mwenye akili za kima mkama... ni sawa na kumuombea maiti...achaneni nae siku zao zinahesabika, and im sure huyu ni moja wapo ya watu wataokalia kuti kavu siku chache zijazo... naona ameshindwa kujifunza kwa mtatiro..pole zako kijana kwa suru maiti kiakili. shame on you
 
Wameona ni usanii mliofanya hawataki kushiriki uzushi........ Mnafanya maigizo mnataka wayatangaze??? Itv hongereni kwa kuwaumbua wanafiki

huna lakusema na wewe lazima wakufukuze, umetusaidia kuwabomoa magamba wenzio, yan wewe ndio umechanganyikiwa kabisa kuona nyomi la pale.pole sana katibu mweneza magamba! bora uondoke mapema watakufukuza huna unacho kifanya.
 
Wameona ni usanii mliofanya hawataki kushiriki uzushi........ Mnafanya maigizo mnataka wayatangaze??? Itv hongereni kwa kuwaumbua wanafiki

umekwishwaaaaaaaaaaaaaaaaaa katibu mweneza magamba,huna unacho kifanya. wataku fukuza.
 
Nape hiyo post ya ukatibu mwenezi walikupa ili kukukomoa,lakini wewe ukuelewa hilo.Wamekukabidhi gari bila kukupa ramani wapi unapashwa kuelekea.Kumbuka nukuu hii"kwa vile kifo cha CCM hakihepukiki lawama zote utatwishwa wewe"
 
Nape yeye mwacheni tu aongee maana ni kama mgonjwa wa ukimwi kila siku anasema ooh jamani eeeh naumwa marelia haya ni kiboko wakti watu wanaona ni ukimwi so Nape tumchukulie kama mgonjwa wa ukimwi haku na haja ya kubishana naye,kama ana ubavu basi chama chake kifanye mkutano then watu waachwe waje wenyewe kama kwa Chadema pasipo kwenda kuwakusanya vijijini wakati hawafahamu ndani ya wale wanaoenda kuwachukua na maroli wamo Chadema na wengi pia wanataka kuja mjini kuosha macho na si kuwasikiliza kina Nape.Peoples Power sema na wewe Nape Moses Nnauye sema tu kaka hatutukusalandia
 
Wameona ni usanii mliofanya hawataki kushiriki uzushi........ Mnafanya maigizo mnataka wayatangaze??? Itv hongereni kwa kuwaumbua wanafiki

Kwisha habari yenu Nnauye Jr, naona roho inawauma sana unaishia kutunga maneno ya uongo na kutunga fitna. Kila kitu kilionekana ITV leo. Nyie hamuwezi kujaza watu vile bila kuleta malori na kuwapa watu wali. Na sidhani kama umemuelewa mtoa mada, yeye amesema kuwa ITV wametoa taarifa kuwa CHADEMA wamejitokeza kwa wingi wakati wale ni Watanzania kutoka vyama mbali mbali.

Hivi kuna waigizaji kama CCM hapa duniani? Mara msema mnavuana magamba watu hawavuliki, maisha bora kwa mtanzania wakati maisha ni magumu sana, hamtoi mikopo kwa wanafunzi, mfumuko wa bei mkubwa, deni la taifa kubwa, mna ubadhilifu, wezi na wahujumu uchumi mnawakumbatia badala ya kuwawajibisha.

Tutaendelea kuwanyoosha mpaka mtakavyotuachia nchi yetu.
 
Kweli kabisa yalikuwa maigizo kama ya wale wachungaji wanaoongea pale Jangwani, cha kunifanya nikubali kuwa ni maigizo ni pale waongeaji wanapobadili sauti na kuzifanya za kiuchungaji. Kweli kondoo waliopotea ni wengi. Usanii mtupu.
 
Wameona ni usanii mliofanya hawataki kushiriki uzushi........ Mnafanya maigizo mnataka wayatangaze??? Itv hongereni kwa kuwaumbua wanafiki

Kwisha habari yenu Nnauye Jr, naona roho inawauma sana unaishia kutunga maneno ya uongo na kutunga fitna. Kila kitu kilionekana ITV leo. Nyie hamuwezi kujaza watu vile bila kuleta malori na kuwapa watu wali. Na sidhani kama umemuelewa mtoa mada, yeye amesema kuwa ITV wametoa taarifa kuwa CHADEMA wamejitokeza kwa wingi wakati wale ni Watanzania kutoka vyama mbali mbali.

Hivi kuna waigizaji kama CCM hapa duniani? Mara msema mnavuana magamba watu hawavuliki, maisha bora kwa mtanzania wakati maisha ni magumu sana, hamtoi mikopo kwa wanafunzi, mfumuko wa bei mkubwa, deni la taifa kubwa, mna ubadhilifu, wezi na wahujumu uchumi mnawakumbatia badala ya kuwawajibisha.

Tutaendelea kuwanyoosha mpaka mtakavyotuachia nchi yetu.
 
Hongereni wote mliompa Nape vidonge vyake.....yote mmeyamalizka, zinamtosha, amejifunza kuwa kukurupuka siyo kuzuri na siku zote, neno NINGEJUA HUJA MWISHO WA SAFARI....2015. BIG UP ALL OF YOU...NAPE BYEEEEEEEEEEEE!!!!!
 
Wameona ni usanii mliofanya hawataki kushiriki uzushi........ Mnafanya maigizo mnataka wayatangaze??? Itv hongereni kwa kuwaumbua wanafiki

Kumbuka hata mikutano yenu mnatoa magari kwa kusafirisha wahudhuriaji but CDM wote pale wamekuja na sh 300/= zao au zaidi tena wamechanga kama hapa MERU ilivyokuwa na mkatoka na AIBU ok mkuu pole SAMAKI
 
Wameona ni usanii mliofanya hawataki kushiriki uzushi........ Mnafanya maigizo mnataka wayatangaze??? Itv hongereni kwa kuwaumbua wanafiki
"I uploaded a youTube video http://t.co/jQT3yOex Maelfu ya wakazi wa Dar wahudhuria mkutano wa CHADEMA Jangwa"
 
Last edited by a moderator:
Wameona ni usanii mliofanya hawataki kushiriki uzushi........ Mnafanya maigizo mnataka wayatangaze??? Itv hongereni kwa kuwaumbua wanafiki

Kwisha habari yenu Nnauye Jr, naona roho inawauma sana unaishia kutunga maneno ya uongo na kutunga fitna. Kila kitu kilionekana ITV leo. Nyie hamuwezi kujaza watu vile bila kuleta malori na kuwapa watu wali. Na sidhani kama umemuelewa mtoa mada, yeye amesema kuwa ITV wametoa taarifa kuwa CHADEMA wamejitokeza kwa wingi wakati wale ni Watanzania kutoka vyama mbali mbali.

Hivi kuna waigizaji kama CCM hapa duniani? Mara msema mnavuana magamba watu hawavuliki, maisha bora kwa mtanzania wakati maisha ni magumu sana, hamtoi mikopo kwa wanafunzi, mfumuko wa bei mkubwa, deni la taifa kubwa, mna ubadhilifu, wezi na wahujumu uchumi mnawakumbatia badala ya kuwawajibisha.

Tutaendelea kuwanyoosha mpaka mtakavyotuachia nchi yetu.
 
Magamba na nyie wekeni mkutano next week. Muwasombe Mamluki bagamoyo Msoga tuone kama mtaujaza Uwanja wa jangwani. Magamba.
 
Back
Top Bottom