ITV vipi na picha ya meli?

Lukansola

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
5,436
1,579
Siku chache zilizopita member mmoja wa jf alileta mada kwamba picha iliyotumika kwenye vyombo vingi vya habari kuonesha meli ya MV spice islander haikuwa ya kweli, hata aliweka site ambayo picha hiyo ilipatikana ikiwa ni ya meli iliyozama huko asia, sikumbuki ni wapi. Kinachonishangaza ni kuwa mpaka leo asubuhi nimeona picha hiyohiyo ikitumika na ITV kwenye tangazo la kuhammasisha misaada kwa wahanga.
What does this mean?
 
JamboJema

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
1,143
208
Uvivu wa kutafuta habari. Au tuiite kufanya invesitigative journalism kwa kutazamia!
 
BPM

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,761
572
hawana team ya uchunguzi ila wanapenda kupokea habari tu
 
Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,768
892
Sio ITV pekea yake ni vyombo vingi vya habari wanatumia hiyo picha, taingia siku ile ya ajali tulisema humu Jamavini hiyo picha sio ya meli iliopata ajali
 
Mvaa Tai

JF-Expert Member
Aug 11, 2009
6,161
4,433
Siku chache zilizopita member mmoja wa jf alileta mada kwamba picha iliyotumika kwenye vyombo vingi vya habari kuonesha meli ya MV spice islander haikuwa ya kweli, hata aliweka site ambayo picha hiyo ilipatikana ikiwa ni ya meli iliyozama huko asia, sikumbuki ni wapi. Kinachonishangaza ni kuwa mpaka leo asubuhi nimeona picha hiyohiyo ikitumika na ITV kwenye tangazo la kuhammasisha misaada kwa wahanga.
What does this mean?
Hii inamaanisha Tanzania kuna fursa nyingi za kujipatia pesa bila hata kutumia resources nyingi, hebu imagine kwanini ulipe watu waende eneo la tukio kuchukua picha ambayo unaweza kuchakachua toka Library na usisitukiwe na Mibongo?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom