ITV na ZITTO KABWE kuna nini?

ITV na ZITTO KABWE kuna nini?

Status
Not open for further replies.
Hata mie nimeshangaa hawajatangaza habari za mikutano ya Tundu Lissu jimboni kwa Mwigulu na ile mikutano ya kamanda Mawazo wameipotezea pia. Hata habari ya Sugu kutunukiwa PhD ya heshima na TEKU pia hawajaitangaza.

hahahah!
much respect kaka!
 
Hivi star tv wana nini na CDM mbona wanatangaza ya Zito wanaacha ziara ya Dr.Slaa?

Mleta uzi tunaomba na wewe utupe majibu yako katika hili.

star tv ya antony Diallo. Ni ccm damu huyu
 
Lakna hukunielewa mkuu, soma vizuri post!

We kilaza unamwambia kila mtu hajakuelewa. Hivi hapo umeandika Schrodinger equation hadi watu wote wasikuelewe? Kilaza kweli wewe. Unashupaa mishipa ya shingo kwa tv ya Mengi? mwambie mama yako akazae na mengi halafu uwe unainfluence habari za kutokea itv. pumbafu
 
Hivi star tv wana nini na CDM mbona wanatangaza ya Zito wanaacha ziara ya Dr.Slaa?

Mleta uzi tunaomba na wewe utupe majibu yako katika hili.

star tv ya kada wa sisiem.
 
1. ITV mali ya R. Mengi
2.Reporter: Devota Minja
3.Cdm mmiliki E.Mtei
4.M/kiti Freeman Mbowe.
Unategemea watangaze habari za,
zitto zuberi kabwe,muha wa kigoma kweli!

Usisahau kuwa ITV inajaribu kuweka uwiano wa kuripoti habari za chama tawala na zile za upinzani. Sidhani kama itakuwa busara kuweka uwiano kati ya habari za upinzani na zile za upinzani wa upinzani! Wapate wapi muda na nafasi hiyo?
 
Zto anataka ukubwa kama aliojaribu kuutafuta Lusifer. Mpaka wapambe wake wanathubutu kusema Zto kwanza CDM baadaye.
 
Msiwe na akili fupi mkamdanganya Zitto kwamba anakubalika!Zitto anapotea kwenye jukwaa la siasa za Tanzania muda si mrefu!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
We kilaza unamwambia kila mtu hajakuelewa. Hivi hapo umeandika Schrodinger equation hadi watu wote wasikuelewe? Kilaza kweli wewe. Unashupaa mishipa ya shingo kwa tv ya Mengi? mwambie mama yako akazae na mengi halafu uwe unainfluence habari za kutokea itv. pumbafu

R.I.P chacha wangwe
 
1. ITV mali ya R. Mengi
2.Reporter: Devota Minja
3.Cdm mmiliki E.Mtei
4.M/kiti Freeman Mbowe.
Unategemea watangaze habari za,
zitto zuberi kabwe,muha wa kigoma kweli!

Huyo Muha wakati Kimbunga cha ndani hakijamkumba Habari zake zingelikuwa za muhimu lakini sasa yupo kinyume na akina Mangi wao wameshika mpini yeye kashika Makali na wapambe wake ndani ya Chadema hawana vyeo vikubwa hata Kama wapo wanaogopa kijitokeza .Live kwa kuogopa fagio la chuma Chezea Mzimu wa Chacha Wangwe wewe...
 
Zito sasa anaelekea Kuwa JEPESI kabsa uzito wake umepeperushwa na Yale Yale yaliyowahi kumkumba Chacha Wangwe wakati aliposimamishwa kwa mda kwa kisingizio cha kwenda kinyume na Uongozi Nadhani Zito analo la kujifunza kupitia Mfano huu
 
How can I report this to mods?

Tubishane kwa hoja sio matusi.. Kama hukuelewa topic, ungesema ningejaribu kuandika kwa lugha yako!

Mh! Mbona hakuna tusu hapo ndugu?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom