ITV na ZITTO KABWE kuna nini?

ITV na ZITTO KABWE kuna nini?

Status
Not open for further replies.

sexologist

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2010
Posts
2,276
Reaction score
976
Naamini wapo waliotazama habari leo ITV.

Nimeshangaa habari ya Zitto kufanya mkutano mkubwa Kigoma haikutangazwa. Badala yake ni Dr. Slaa akiwa Nzega. Ambapo alitumia nafasi hiyo kusema Zitto anaweza kuvuliwa uanachama iwapo mashabiki wake wataendeleza propaganda chafu.
 
Kwani hakuna vyombo vingine vya habari?kuna tbc,clouds,star tv,channel 10,na nyingine mnazotizama huko Dar mbona hukuangalia hizo?Huu tunaita kuwashwa washwa

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Naamini wapo waliotazama habari leo ITV.

Nimeshangaa habari ya Zitto kufanya mkutano mkubwa Kigoma haikutangazwa. Badala yake ni Dr. Slaa akiwa Nzega. Ambapo alitumia nafasi hiyo kusema Zitto anaweza kuvuliwa uanachama iwapo mashabiki wake wataendeleza propaganda chafu.

walijua msaliti yule alikiuka taratibu za chama chake ndio maana wakampotezea
 
Naamini wapo waliotazama habari leo ITV.

Nimeshangaa habari ya Zitto kufanya mkutano mkubwa Kigoma haikutangazwa. Badala yake ni Dr. Slaa akiwa Nzega. Ambapo alitumia nafasi hiyo kusema Zitto anaweza kuvuliwa uanachama iwapo mashabiki wake wataendeleza propaganda chafu.

Kwani Zitto ni nani mpaka habari zake zitangazwe na kila Kituo?
 
Mbona Star tv hawatangazi mikutano ya Dr. Slaa lakini wanafuatilia hata habari mitaani kuhusu Zito?
 
Kwani hakuna vyombo vingine vya habari?kuna tbc,clouds,star tv,channel 10,na nyingine mnazotizama huko Dar mbona hukuangalia hizo?Huu tunaita kuwashwa washwa

Tukisema wana ubaguzi mnaleta mat.,usi hivi ITV inamilikiwa na nani? si anatokea mkoa mmoja na wenye saccos ya chadema? unategemea nini!? tutaangalia hizo zingine
 
Naamini wapo waliotazama habari leo ITV.

Nimeshangaa habari ya Zitto kufanya mkutano mkubwa Kigoma haikutangazwa. Badala yake ni Dr. Slaa akiwa Nzega. Ambapo alitumia nafasi hiyo kusema Zitto anaweza kuvuliwa uanachama iwapo mashabiki wake wataendeleza propaganda chafu.

Hata mie nimeshangaa hawajatangaza habari za mikutano ya Tundu Lissu jimboni kwa Mwigulu na ile mikutano ya kamanda Mawazo wameipotezea pia. Hata habari ya Sugu kutunukiwa PhD ya heshima na TEKU pia hawajaitangaza.
 
Itv ya kaskazini

Kwani nyinyi wa kusini, mashariki,magharibi mliweka wapi akili zenu wakati hawa wakaskazini wakianzisha hy itv? Tofauti kati ya mtu aliyetoka kigoma na kaskazini ni kuwa yule wa kigoma ametoka kwenye njaa na ukame kwa akija mji yeye lake moja tuu kula na tamaa ili amfikie wa kaskazini ila wa kaskazini anatoka sehemu ya shibe hakuna ukame akifika mjini atazungumzia maslahi ya watu wa chini
 
mbona channel ten hawakuonesha, kingine wanajitambua kiutanzania zaidi sio ujingaujinga kama wa dogo, mtu unajiamini unaakili kuliko chama shida sanaa, kuna muha moja alikuwaga MD wangu tulikoma ni mbinafsi, mchoyo, kila kitu anajua yeye n.k
 
Hivi star tv wana nini na CDM mbona wanatangaza ya Zito wanaacha ziara ya Dr.Slaa?

Mleta uzi tunaomba na wewe utupe majibu yako katika hili.
 
Vyombo vya habari uwa havinaga ukabila au udini kama habari imelipotiwa au imeunganishwa kwa siku hiyo lazima itangazwa labda tu haikua tayali haitalipoti milele kama ipita hiyo siku
 
Naamini wapo waliotazama habari leo ITV.

Nimeshangaa habari ya Zitto kufanya mkutano mkubwa Kigoma haikutangazwa. Badala yake ni Dr. Slaa akiwa Nzega. Ambapo alitumia nafasi hiyo kusema Zitto anaweza kuvuliwa uanachama iwapo mashabiki wake wataendeleza propaganda chafu.

1. ITV mali ya R. Mengi
2.Reporter: Devota Minja
3.Cdm mmiliki E.Mtei
4.M/kiti Freeman Mbowe.
Unategemea watangaze habari za,
zitto zuberi kabwe,muha wa kigoma kweli!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom