Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,599
- 1,798
ITV ni news according to Dr Mengi anavyotaka
Yeah! Kuna siku Mengi aliwekwa ktk clip yake kwa zaidi dk kumi! Anaongea utumbo tu!
ITV ni news according to Dr Mengi anavyotaka
Naamini wapo waliotazama habari leo ITV.
Nimeshangaa habari ya Zitto kufanya mkutano mkubwa Kigoma haikutangazwa. Badala yake ni Dr. Slaa akiwa Nzega. Ambapo alitumia nafasi hiyo kusema Zitto anaweza kuvuliwa uanachama iwapo mashabiki wake wataendeleza propaganda chafu.
mbona channel ten hawakuonesha, kingine wanajitambua kiutanzania zaidi sio ujingaujinga kama wa dogo, mtu unajiamini unaakili kuliko chama shida sanaa, kuna muha moja alikuwaga MD wangu tulikoma ni mbinafsi, mchoyo, kila kitu anajua yeye n.k

jamani mziki wa zitto ni mkubwa kuliko wa slaaHivi star tv wana nini na CDM mbona wanatangaza ya Zito wanaacha ziara ya Dr.Slaa?
Mleta uzi tunaomba na wewe utupe majibu yako katika hili.
walijua msaliti yule alikiuka taratibu za chama chake ndio maana wakampotezea
Nendeni TBCccm ndio hurusha habari za kimagamba magamba,
Naamini wapo waliotazama habari leo ITV.
Nimeshangaa habari ya Zitto kufanya mkutano mkubwa Kigoma haikutangazwa. Badala yake ni Dr. Slaa akiwa Nzega. Ambapo alitumia nafasi hiyo kusema Zitto anaweza kuvuliwa uanachama iwapo mashabiki wake wataendeleza propaganda chafu.
Naamini wapo waliotazama habari leo ITV.
Nimeshangaa habari ya Zitto kufanya mkutano mkubwa Kigoma haikutangazwa. Badala yake ni Dr. Slaa akiwa Nzega. Ambapo alitumia nafasi hiyo kusema Zitto anaweza kuvuliwa uanachama iwapo mashabiki wake wataendeleza propaganda chafu.
Mshamba kweli wewe. Anzisha tv yako halafu umweke zito masaa 24/7 uangalie na mkeo. ukipenda hata na hawara au bwana wako. shwain
Una hisa itv wewe? au babu yako litoa mchango ikaanzishwa?
walijua msaliti yule alikiuka taratibu za chama chake ndio maana wakampotezea
Kila habari ikiandikwa muda utatosha. After all kila chombo cha habari kina ajenda yake
Mkuu usilolijua na kulielewa ni kuwa vyombo vya habari kama magazeti, Redio na Tvs huwa vinawatuma waandishi wao kwenye ziara za viongozi wa vyama vya siasa ngazi ya taifa. Ndo maana ITV wamemtuma mwandishi wao kwenye ziara ya Slaa ambaye ni kiongozi wa taifa, sasa.... Zitto ana uongozi gani kwenye CDM ngazi ya taifa hata apewe mwandishi wa habari kuongozana naye? Waambie nduguzo wa TBCCM, Uhuru na Jambo Leo watume wawakilishi kwenye ziara ya Zitto basi. Watu wengine bwana!!!!!!
Kwani lazima ITV warushe? Si kuna TBC1 tena ya Taifa ungeangalia huko.
Kwani hakuna vyombo vingine vya habari?kuna tbc,clouds,star tv,channel 10,na nyingine mnazotizama huko Dar mbona hukuangalia hizo?Huu tunaita kuwashwa washwa
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums