kesho nayo mtaiona haina maana.
Mungu endeleakuwapa Mwanga na busara zaidi STAR TV.....Mungu anajua wapi awaanike wanafiki ..Kwani STAR TV iko kiataifa zaidi....
Dah ila kaka yangu Revocatus kutumika kwa jinsi yako ni kubaya sana.unaokoelekea utakuwa kama Mwampamba aliyeacha ualimu akaenda kubeba na kula makombo ya Savimbi.umesahau StarTV inamilikwa na kada na mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza??? chadema waache kulia lia, wafungue station zao ili wapige propaganda huko
nimewahi ona hm hata kwenye majukwa cdm wakiisia itv na kuita ni tv ya taifa,,,,cdm wajinga sana akili ndogo kuongoza akili kubwa hkn tv itakayoendelea tangaza ujinga na ugaidi wenu
hivi kila utumbo utakaongelewa na kiongozi yeyote wa chadema lazima itangazwe?mbona unataka kuwa dikteta acha kutazama sisi hatutasusiaKatika hali ambayo imenishangaza ni vituo hivi vya habari yaani ITV na Channel 10 kutoonyesha habari za press iliyoitishwa na Chadema makao makuu kuhusiana na sakata la katibu wa Chadema kanda maalumu ya Dar es salaam bwana Henry Kileo pamoja na makamanda wengine wanaoshikiliwa na polisi kwa wanachodai kummwagia kada wa ccm tindikali. Imenishangaza sana kuona habari hii ikirushwa na kituo cha Star tv peke yake.
Angalizo langu katika vyombo hivi vya habari ni kwamba wajitathmini na kufanya kazi zao kwa uhuru pasipo kukubali mashinikizo ya ccm na vyombo vyake la sivyo tutavisusia kama ilivyo kwa TBC.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Mkuu heshima kwako,
Sijawahi kujiuliza sana kuhusu Channel 10, lakini ITV wameanza kunitumbukia nyongo tangu ile siku ya Juni 15, wakati bomu limelipuka Arusha wao hawakuipa hiyo habari kipaumbele. Ilitangazwa kama habari ya katikati (siyo kama breaking news ama taarifa ya kwanza), na alisoma tu Albert Nitwa kwa sentensi moja. Hapakuwa hata na mwandishi wa habari wa ITV kutujuza zaidi, wala hata kuhoji (hata kwa simu tu kama hali haikuruhusu mwandishi kuwepo sehemu ya tukio) kutoka kwa mashuhuda kama hawakuweza kumpata kiongozi yeyote kwa wakati ule. Ikumbukwe wakati huo walikuwepo waandishi wa habari kadhaa wakifuatilia kampeni za uchaguzi pamoja na kina Asraji Mvungi ambao ni watangazaji wa ITV walioko Arusha.
Labda wanaogopa kutia kitumbua mchanga...
Katika hali ambayo imenishangaza ni vituo hivi vya habari yaani ITV na Channel 10 kutoonyesha habari za press iliyoitishwa na Chadema makao makuu kuhusiana na sakata la katibu wa Chadema kanda maalumu ya Dar es salaam bwana Henry Kileo pamoja na makamanda wengine wanaoshikiliwa na polisi kwa wanachodai kummwagia kada wa ccm tindikali. Imenishangaza sana kuona habari hii ikirushwa na kituo cha Star tv peke yake.
Angalizo langu katika vyombo hivi vya habari ni kwamba wajitathmini na kufanya kazi zao kwa uhuru pasipo kukubali mashinikizo ya ccm na vyombo vyake la sivyo tutavisusia kama ilivyo kwa TBC.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
..ukiona hivi wanjua mengi zaidi so wanogopa...Mkuu heshima kwako,
Sijawahi kujiuliza sana kuhusu Channel 10, lakini ITV wameanza kunitumbukia nyongo tangu ile siku ya Juni 15, wakati bomu limelipuka Arusha wao hawakuipa hiyo habari kipaumbele. Ilitangazwa kama habari ya katikati (siyo kama breaking news ama taarifa ya kwanza), na alisoma tu Albert Nitwa kwa sentensi moja. Hapakuwa hata na mwandishi wa habari wa ITV kutujuza zaidi, wala hata kuhoji (hata kwa simu tu kama hali haikuruhusu mwandishi kuwepo sehemu ya tukio) kutoka kwa mashuhuda kama hawakuweza kumpata kiongozi yeyote kwa wakati ule. Ikumbukwe wakati huo walikuwepo waandishi wa habari kadhaa wakifuatilia kampeni za uchaguzi pamoja na kina Asraji Mvungi ambao ni watangazaji wa ITV walioko Arusha.
Labda wanaogopa kutia kitumbua mchanga...
Mkisusa wenzenu watakula. Tafakari, chukua hatuaHawa wote ni magamba. Tuwasusie.
nimewahi ona hm hata kwenye majukwa cdm wakiisia itv na kuita ni tv ya taifa,,,,cdm wajinga sana akili ndogo kuongoza akili kubwa hkn tv itakayoendelea tangaza ujinga na ugaidi wenu
Wabongo tunajua sana kubwabwaja tuuuu
MIMI SIAMINI KWELI CHAMA PINZANI KIPO TANZANIA DHIDI YA CCM!! CHADEMA BADO SAANAAAAAAA