ITV na Channel 10 zaungana na TBC?

ITV na Channel 10 zaungana na TBC?

Kwa chombo cha habari kinachofuata ethics za habari lazma kiwe MAKINI sana na swaga za CDM. Wenye ufaham wengi vyombo vyao vinaikwepa cdm kukwepa kuonekana wanaunga mkono wahuni ambao hawana status kama hiyo. Kwa taarifa yenu ilibaki ITV tu. STAR TV,CH 10, hata CLOUDS TV ingawa niya entertainment zote fagilia ccm ile mbaya. Chadema wanatumia sheria namba 11 ya masonic(bring terror then find solution)kitu ambacho kwa tz ni ngumu kwa vle hatuja kaa mazngira yakiivo kwa mda mrefu.
 
Back
Top Bottom