Mi nilishawapotezea siku nyingi hata King'amuzi sijanunua. Mi chanzo changu cha habari ni Jamii Forum gwiji la HAbari Tanzania.
Uhuru wa vyombo vya habari ni pamoja na kuchagua habari ya kuripoti.Hawa wote ni magamba. Tuwasusie.
Chadema anzisheni TV yenu lasivyo mtalalamikia kila mtu,pia mmezidi sana Matamko kuwe na Utaratibu wa kutoa matamko!
mimi mwenyewe nimeshuhudia hicho unachokisema.
Itv ni kituo kinachofanya kazi kwa woga sana, nahisi habari zao mara kadhaa serikali na makada wa ccm wanazi-screen kwanza.
Ni muhimu chadema kuwa na media zake kuliko kutegemea hizi za wajanjawajanja.
Chadema mlitaka hiyo habari iripotiwe ili iweje ?
Mpate huruma ?
Halafu vyombo habari havilazimishwi kutoa Habari kama mnavyotak nyinyi...
Anzisheni CHADOMO TV mtoe habari za milipuko 24/7
Nilitoa rai juzi kuwa tususie vyombo vya habari vya R. Mengi kama ITV, RADIO ONE, magazeti ya NIPASHE na GUARDIAN etc na bidhaa zote za IPP kwani huyu mzee amegeuza vyombo vyake vya habari kuwa vya serikali.
Tuanzishe CHADEMA TV hata kwa michango.
Chadema anzisheni TV yenu lasivyo mtalalamikia kila mtu,pia mmezidi sana Matamko kuwe na Utaratibu wa kutoa matamko!
Ni wakati umefika CDM wafungue kituo chao cha radio na TV. Uwezo mnao, kama hamna anzisheni harambee na watu wengi watachangia sana. Kutegemea vyombo vya habari ambavyo wamiliki ni wa nyama vingine vya siasa hasa CCM au vile ambavyo wahariri walishanunuliwa mtakuwa mnapoteza nguvu nyingi sana bila impact. Communication is power!!
Khaa!!! wewe ndiyo mlevi kweli!! Hivi kwa akili yako unadhani kila mtu ni Chadema!! Hebu tuache siasa zisizo na tija tuchape kazi tuiendeleze nchi. :heh:Hawa wote ni magamba. Tuwasusie.
Khaa!! nawaza hiyo TV itakavyokuwa! 24/7 ni video za miili ya binadamu iliyotapakaa damu na kuchanwanwa vibaya. I ll never let my kids watch this station:heh:Ni wakati umefika CDM wafungue kituo chao cha radio na TV. Uwezo mnao, kama hamna anzisheni harambee na watu wengi watachangia sana. Kutegemea vyombo vya habari ambavyo wamiliki ni wa nyama vingine vya siasa hasa CCM au vile ambavyo wahariri walishanunuliwa mtakuwa mnapoteza nguvu nyingi sana bila impact. Communication is power!!