mi naona bora pia
ianzishwe JF TV,itatuhabarisha vizuri sana,ujue mm wala huwa siangalii
hyo miTV yenu,habari nyingi current huwa nazipakuwa huku JF
nimewahi ona hm hata kwenye majukwa cdm wakiisia itv na kuita ni tv ya taifa,,,,cdm wajinga sana akili ndogo kuongoza akili kubwa hkn tv itakayoendelea tangaza ujinga na ugaidi wenu